Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Tuwe wakweli tu ndugu zanguni.
Mikopo midogo midogo kwenye taasisi za fedha mtaani zinasaidia sana Watumishi wa Umma katika kusolve matatizo yao madogo madogo na makubwa pia.
Wamekuwa waelewa sana kwa watumishi.
Wanakaa na ATM kadi na namba ya siri ya mhusika then wanakupa pesa kwa riba ya 20 hadi 40%. Lakini inasaidia sana.
Ni bora utatue tatizo kubwa hata kama kwa riba kubwa kuliko ukose kabisa halafu madhara yawe makubwa kuliko.
Unachukua 100,000 then unarejesha 140,000 kwa siku 30, naona ni swala la kawaida kabisa. Riba ya 40,000 kutatua tatizo lako zito ni kitu kidogo sana.
Serikali ijue kabisa hawa ndo mkombozi wa watumishi wa umma. Watu wamechoka sana.