Bafredo Electronics +255 765 570 731,Habari
Nina uhahitaji wa micro-controllers, sana sana EPS32, yoyote aliyenazo au anajua zinapopatikana kwa hapa Tanzania , anipe muongozo.
Asante
Bafredo Electronics +255 765 570 731,
Ubungo. Sina uhakika kama wana sole microcontroller, ila una uhakika wa kupata ESP32 Development Board yenye hiyo MCU. dronedrake
Hakikisha mzigo unatoka china. Na agiza kati ya Ijumaa au jumamosi. Mzigo utakufikia mkoani kwako baada ya wiki mbili kupitia speedafTatizo naona kuchelewa kufika kwa mzigo, huwa unatumia njia gani?