Michuzi ateuliwa mwandishi msaidizi wa Rais


Michuzi ni photo-journalist.
 
Kuna mtu aliwahi kuleta uzi juu ya huyu mpiga picha kuwa "ametumwa" na ndo maana habari nyingi za chechemee huwa zinarushwa sana kwenye blogu yake. sasa nimeamini
 
Ile kazi iliyowahi kuripotiwa kuwa ameipata huko marekani iliishia wapi??????

alikuwa anatupima akili tu yule jamaa, hakupata huko VOA wala nini alikuwa katika ziara binafsi akatangaza kuwa kapata kazi huko
 
siku nikimsikia rais anasoma hotuba ikianza na maneno haya nitajua basi kweli imeandikwa na Michuzi:

nawashukuru sana wadau wa libeneke la mandeleo ya nchi yetu kutoka ukerewe na ufini..... bila kuwasahau mashabiki wa bwawa la maini....

..........

ni mfano tu
 
Kama ni kweli wala sitashangaa maana alishaanza kuonyesha wazi wazi kuwa yuko karibu sana na LIIKULU
 
Kibonde anakauka koo tu kwa kubwabwaja tu kwenye Radio ya wafu wakati wenzake wanakula mashavu kudadadeki.

Hahahahaha yule kibonde anavyojipendekezaga kwa magamba roho inamuumaje: yani staili ni mupe mupe kibonde muruke.
 

Hahaaa haaaa kwani JK ni shabiki wa timu ganii??
 
Michuzi ni photo-journalist.
zile picha za mkulu za kubembea hazikutokea vizuri...............sasa amechukua mtaalamu..........tegemeeni mambo mazuri kule kwenye facebook.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…