DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,362
- 83,358
Kikubwa awe na moyo tu maana kile kidonge kujiingiza nyuma sio poa.Pole sana Mkuu Ila nakuomba anzia hospitalini Ila kwa huduma ya kwanza zipo dawa za kutuliza hali .
Waweza kupiga picha vizuri ukashare hapa ili tu-recommend dawa za kutuliza hali .
Ikiwa utaogopa waweza nenda hosptalinj direct.
Naona Kama unafanya mchezo be smartKikubwa awe na moyo tu maana kile kidonge kujiingiza nyuma sio poa.
Mkuu na wewe unaitumia sana kumbe? Vipi wewe imesababishwa na nini mkuu huo mchubukoUongo .........jelly haiwashi kabisa ................
Aaaah 😂😂😂🙌🏾Mkuu hilo ni tatizo b
Wewe ni dereva maana yake unakaa kwa muda mrefu'si ajabu kula yako sio sahihi sana kutokana na kazi yako,ukienda kunya unahisi maumivu,ukikaa unahisi maumivu,huenda ukiwa unatomba pia unahisi dalili za maumivu,ila unasema sio bawasili....HAYA ENDELEA TU NA UBISHI MKUU.
kutopata choo kivipi mkuu,,ile shida si hua inaanzia ndani kabisa na io aloe inapakwa njeTiba hii hapa.............unaijua aloe vera jelly??.....yaani lile ua la aloe Vera kata kwangua ile jelly........ukimaliza kukata gogo jisafishe fresh kabisa tumia taulo kukausha maji maji pawe pakavu chukua ile jelly sugulia pale mwaloni ..........sugulia na mkono kama unatawaza tena ila ukitumia ile jelly.......utatumia kwa muda wa week 1 asubuhi na jioni ..........utareta ushuhuda hapa umepona......sio maumivu wala miwasho wala kutopata chooo.......nimemaliza na sidai chochote.......asante
Eeeh we baba picha humu kweli 😂😂😂😂Pole sana Mkuu Ila nakuomba anzia hospitalini Ila kwa huduma ya kwanza zipo dawa za kutuliza hali .
Waweza kupiga picha vizuri ukashare hapa ili tu-recommend dawa za kutuliza hali .
Ikiwa utaogopa waweza nenda hosptalinj direct.
Wewe tumia......na urete mrejeshokutopata choo kivipi mkuu,,ile shida si hua inaanzia ndani kabisa na io aloe inapakwa nje
Note: Sijawai fanya au kufanyiwa michezo michafu. Mimi nina Muogopa Mungu.