AFCON 2027: CAF huenda ikaahirisha mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

AFCON 2027: CAF huenda ikaahirisha mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
16,703
Reaction score
20,012
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) linaripotiwa kufikiria kuahirisha michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 hadi 2028 kutokana na wasiwasi wa utayari wa miundombinu na marekebisho yanayoendelea ya kalenda ya soka ya bara hili.

afcon-2027.jpg
Uvumi huo unakuja kabla ya kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF Februari 13 jijini Dar es Salaam, ambapo suala hilo linatarajiwa kujadiliwa.

Mashindano ya 2027, yaliyopewa jina la "Pamoja 2027" (kwa Kiswahili) yanatarajiwa kuwa AFCON ya kwanza kuandaliwa kwa pamoja na mataifa matatu, Kenya, Uganda, na Tanzania na awali yalipangwa kufanyika Juni-Julai 2027, ikiwakilisha hatua muhimu kwa soka la Afrika Mashariki.

====

Doubts over hosts’ readiness set to force postponement of 2027 Africa Cup of Nations

Next year’s Africa Cup of Nations could be postponed until 2028 owing to doubts over the readiness of Kenya, Tanzania and Uganda to host the tournament, in a move that would lead the Confederation of African Football to scrap one edition of its showpiece competition.

The Guardian understands that Caf’s executive committee will discuss the proposal when it meets in Dar es Salaam on Friday, with Morocco’s expected withdrawal as hosts for next month’s Women’s Afcon also high on the agenda.

Morocco celebrate after reaching Sunday’s Afcon final.
African football chiefs accused of not consulting fully over controversial Afcon change
Read more
In December the Caf president, Patrice Motsepe, announced Afcon would be staged every four years instead every two from 2028, and said the 2027 tournament would take place in Kenya, Tanzania and Uganda, with the 2029 edition brought forward to 2028.

Despite rumoured interest from South Africa and Botswana in jointly hosting that 2028 tournament, there is growing expectation that the 2027 edition will be pushed back 12 months.

According to several sources in the ExCo, there are major concerns over the infrastructure in Kenya, Tanzania and Uganda and their ability to cope with a 24-team tournament due to be spread over 10 cities. Last August there were challenges including ticketing and security measures around the stadiums in Kenya, Tanzania and Uganda that hosted the Africa Nations Championships (Chan) for domestic-based players. There are also understood to be issues with finding time in the international calendar to complete the qualification given the potential involvement of 10 African teams at this summer’s World Cup. Caf did not comment on any of the claims.

Any postponement would mean scrapping the tournament scheduled for 2028, for which Ethiopia had signalled its intention to rival a South Africa-Botswana bid. That would allow Caf to introduce its plan for a first African Nations League to take place in 2029. It wants that to replace the biennial Afcon and Chan as its chief source of income.

Last month Motsepe insisted that the 2027 tournament would go ahead. “I have a duty to develop football all over Africa,” he said. “I can’t have competitions only in those four countries where you’ve got the infrastructure. You’ve got to create opportunities for the other countries to build infrastructure as well. I’m confident that the Afcon in Tanzania, Kenya and Uganda will be enormously successful.”

There is confusion over the Women’s Afcon due to start on 17 March after South Africa said it was ready to step in if required after Morocco apparently indicated it could no longer stage the tournament. Neither the Moroccan football federation nor Caf has confirmed that the tournament will be moved, with a decision expected at Friday’s ExCo meeting.

It is understood at least one member of the ExCo will raise questions about why Caf’s general secretary, Véron Mosengo-Omba, is still in his post despite reaching the statutory retirement age under Caf’s regulations.

Credit: The Guardian
 
Busara inatakiwa kutumika,

vinginevyo watarudisha gharama za ujenzi! Uwanja wa arusha,

Kwa maana tender notice yao ndiyo iliyotumika kuchukulia mkopo wa ujenzi wa viwanja kwenye taasisi za kifedha...

ili na wao Wasiigie hasara, WANAPASWA WASOGEZE MBELE NA SI KUHAMISHA Ama KUAIHIRISHA...Itakula kwao!.
 
CAF Inatarajia Kubadilisha Mashindano ya AFCON 2027.

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) linaripotiwa kufikiria kuahirisha michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 hadi 2028 kutokana na wasiwasi wa utayari wa miundombinu na marekebisho yanayoendelea ya kalenda ya soka ya bara hili.

Uvumi huo unakuja kabla ya kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF Februari 13 jijini Dar es Salaam, ambapo suala hilo linatarajiwa kujadiliwa.

Mashindano ya 2027, yaliyopewa jina la "Pamoja 2027" (kwa Kiswahili) yanatarajiwa kuwa AFCON ya kwanza kuandaliwa kwa pamoja na mataifa matatu, Kenya, Uganda, na Tanzania na awali yalipangwa kufanyika Juni-Julai 2027, ikiwakilisha hatua muhimu kwa soka la Afrika Mashariki.

Tanzania is the limiting factor. She has no money, infrastructure, or zeal to host the 2027 AFCON
 
tanzania peke yake ndio imeibuka kidedea kimandalizi kwa ujumla kwa harakaharaka hadi sasa
 
Timu ya ukaguzi kutoka Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) iko nchini Tanzania na inatarajiwa kufanya mkutano muhimu leo Ijumaa ya Februari 13, 2026 kujadili hatua zilizopigwa na changamoto zilizopo katika maandalizi ya AFCON 2027.

Ni kutokana na masuala kadhaa ikiwemo hofu ya kuzuka vurugu za uchaguzi mkuu wa Kenya na maandalizi hafifu ya nchi wenyeji

Gazeti la The Guardian la Uingereza liliripoti kwamba mashindano hayo yanaweza kusogezwa hadi mwaka 2028, likitoa sababu mbili kuu: nchi mwenyeji—Kenya, Uganda na Tanzania—bado hazijawa tayari kikamilifu kuandaa mashindano hayo makubwa na ratiba ya uchaguzi wa Kenya mwaka 2027, ambayo huenda ikaleta mazingira yasiyo tulivu kwa maandalizi na usalama wa mashindano.

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Ndani ya Kenya Nicholas Musonye amesema Kenya, inaweza kuunga mkono hatua ya kuahirisha mashindano hayo kutokana na uwezekano wa kuzuka kwa vurugu zinazohusiana na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini humo mwaka huo huo. Kauli hiyo imetolewa na,

Lakini pia suala jingine linalotajwa ni muda wa kutosha wa kalenda ya kuandaa mechi za kufuzu. Takribani timu 10 zitashiriki katika Kombe la Dunia la 2026, na hivyo kutoa ugumu kwa CAF kuandaa mechi za kufuzu kwa ajili ya mwakani.
 
My Take
Hawa CAF wasisingizie maandalizi bali waendele straight kwenye sababu ya msingi ya Vurugu za Kisiasa Kenya ndio zitakwamisha ratiba ya mashindano ya Afcon.

Maoni yangu Waipokonye Kenya uwenyeji waipe Rwanda Ili ratiba ya mashindano iendelee kama ilivyokuwa imepangwa maana pia yanaingiliana na maandalizi ya Kombe la Dunia.

---
👉Timu ya ukaguzi kutoka Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) iko nchini Tanzania na inatarajiwa kufanya mkutano muhimu leo Ijumaa kujadili hatua zilizopigwa na changamoto zilizopo katika maandalizi ya AFCON 2027.

✍Gazeti la The Guardian la Uingereza liliripoti kwamba mashindano hayo yanaweza kusogezwa hadi mwaka 2028, likitoa sababu mbili kuu: nchi mwenyeji—Kenya, Uganda na Tanzania—bado hazijawa tayari kikamilifu kuandaa mashindano hayo makubwa na ratiba ya uchaguzi wa Kenya mwaka 2027, ambayo huenda ikaleta mazingira yasiyo tulivu kwa maandalizi na usalama wa mashindano.

👉Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Ndani ya Kenya Nicholas Musonye amesema Kenya, inaweza kuunga mkono hatua ya kuahirisha mashindano hayo kutokana na uwezekano wa kuzuka kwa vurugu zinazohusiana na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini humo mwaka huo huo. Kauli hiyo imetolewa na,

👉Lakini pia suala jingine linalotajwa ni muda wa kutosha wa kalenda ya kuandaa mechi za kufuzu. Takribani timu 10 zitashiriki katika Kombe la Dunia la 2026, na hivyo kutoa ugumu kwa CAF kuandaa mechi za kufuzu kwa ajili ya mwakani.
 
Back
Top Bottom