AFCON 2027: CAF huenda ikaahirisha mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

Majamaa ya west africa yana tuona sisi kenge kweli, maana kila kwenye msafara wa mamba na kenge wamo. Sasa tulikuwa na muda wa kutosha sasa tumeshindwaje kujiandaa. Lakini sisi si kenge, kenge ni viongozi walioshindwa kujiandaa.
Tanzania viwanja vyetu viko kwenye progress nzuri vya Arusha na Zanzibar viko kwenye 70%
 
Najaribu kuwaza mazingira ya hii nchi, barabara zetu, maeneo yanayozunguka viwanja vyetu.

No wonder imebidi waombe msaada China ili ku-finance baadhi ya mambo.

Ni kama vile East Africa haina inachoweza, mbona North, West na South wanafanya vizuri?
 
My Take
Hawa CAF wasisingizie maandalizi bali waendele straight kwenye sababu ya msingi ya Vurugu za Kisiasa Kenya ndio zitakwamisha ratiba ya mashindano ya Afcon.

Maoni yangu Waipokonye Kenya uwenyeji waipe Rwanda Ili ratiba ya mashindano iendelee kama ilivyokuwa imepangwa.

View: https://www.instagram.com/p/DUr4GmElHEv/?igsh=MWplYjJkcjBhMmp3aQ==

Hata hapa Tanzania tutafanya maandamano makubwa wakati wa hiyo michuoano kudai miili ya wapendwa wetu tukazike, na kudai katiba mpya. Hivyo sio Kenya tu.
 
Uwanja wetu wa Arusha uko 74%
74%?
IMG_20260212_075259.jpg
 
Majamaa ya west africa yana tuona sisi kenge kweli, maana kila kwenye msafara wa mamba na kenge wamo. Sasa tulikuwa na muda wa kutosha sasa tumeshindwaje kujiandaa. Lakini sisi si kenge, kenge ni viongozi walioshindwa kujiandaa.
Kama viongozi wenyewe type ya kina Makonda form four failure kuanzia top unategemea nini, kila kitu wao ni siasa.
 
Hata hapa Tanzania tutafanya maandamano makubwa wakati wa hiyo michuoano kudai miili ya wapendwa wetu tukazike, na kudai katiba mpya. Hivyo sio Kenya tu.
Ulitakiwa ufanye kipindi kile sio Kuandika ujinga jf
 
Najaribu kuwaza mazingira ya hii nchi, barabara zetu, maeneo yanayozunguka viwanja vyetu.

No wonder imebidi waombe msaada China ili ku-finance baadhi ya mambo.

Ni kama vile East Africa haina inachoweza, mbona North, West na South wanafanya vizuri?
Barabara Hazina tatizo,maeneo yaliyozunguka uwanja yamefanya nini?
 
Back
Top Bottom