Katika pitapita zangu nimeshaonaga pillars nyingi zikirembwa na michoro.Lakini kwenye hizi flyover zetu ingependeza wachore hivi...kama uongozi utawaruhusu na kuwasimamia ili wachore vitu vyenye maudhui mema(Kama walivyosimamia uchoraji wa ukuta wa shule ya Jangwani),nadhani itafanya jiji lipendeze zaidi.
Kama hizi zinapatikana Petermaritzburg,Durban,SA.