Bado tunabishana kijiweni wapo wanaosema huyu ni Kylian Mbappé wapo wanaosema huyu si Kylian Mbappé kwa ukali wa macho yako, huyu ni yeye au si yeye?
View attachment 2989211
Atakuwa mbape wa ludoda12 ama ushiromboBado tunabishana kijiweni wapo wanaosema huyu ni Kylian Mbappé wapo wanaosema huyu si Kylian Mbappé kwa ukali wa macho yako, huyu ni yeye au si yeye?
View attachment 2989211