hua nabakia kucheka tu mtoto akifanya vituko vyake, aliivunja simu yangu eti kisa haiwaki
Halafu anakuwa mtoto wa jirani.Ukute ni ya mkopo...!!
Unaweza ukaanza kulia kwanza baada ya kumuadhibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hua nabakia kucheka tu mtoto akifanya vituko vyake, aliivunja simu yangu eti kisa haiwaki
Ni kweli. Tena huwa mara nyingine pale chini kunakuwa na mazagazaga mengine, viatu, vi hard disk, vi laptop laptop, vingekuwepo siku hiyo halafu ikaifikia mara moja tu, ingekuwa paaasu.Una bahati mkuu.
Kama ingefikia kwenye tiles basi hiyo 46 inches ingekuwa 0 inch.
Hahahah.
Hapo tatizo ni hicho kioo