nakumbuka mimi nilikua napenda sana kucheza kombolela na kwenda kujificha kwenye mikahawa na mchuchu kombolela zamu yangu ikifika nilikua nahonga natoa shs 100 mwenzangu ananisurfia kisha kama kawa kwenye mikahawa na ladies mwingne nilijikuta namaliza mzunguko wote wa ladies waliokuwepo ilikuwa nomaaaa.........but ni enzi hizo not now kuna ngoma take care utapoteaaaaa
<br />
<br />
Aaaaaagh! Stiker za bg G?
Nyie ndo watoto nyoronyoro wa jaaana hapa!
Enzi ze2 2lkuwa 2nashndana kutengeneza baiskel za mit(pogopogo) na unaiendesha kabsa!
Kurusha tiara masafa ya mbali mkiwa mlimani, kutengeneza vitenesi kwa kutumia miti ya mpira n.k
kwetu hizo baiki tulikuwa tunaziita "gorogojo" huwezi amini, zilikuwa zinatembea kabisa.... nakumbuka jamaa mmoja aliipata gorogojo yake nama za uajili TZN 101