Michezo ya nyani ni hatari.

Nyani bhana mnyama nampenda sana anavituko sana unaweza ukavunja mbavu ukianza kumfuatilia ..

Wiki iliyopita niliingia hifadhi ya selou nikawa nmefua kiatu changu safar boot nikakianika kosa nikawa nmekinyunyiza unga dah! Nyani kaja kakibeba na kukimbia nacho mpaka naondoka sijakipata
 
Nyani ngabu anavuta nini hicho[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Huyu sasa,hii hatari! Hajui ni benki hiyo anataka kunyofoa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…