Michezo ya Jackpot ni ujinga

Michezo ya Jackpot ni ujinga

Halafu baada ya kituo cha radio kukusanya ml100 kutoka kwa wajinga au mabwege 1000 wanamchagua mjinga mmoja labda aliyecheza mara nyingi zaidi na kumpa ml 1.
Japo hayo ma bahati nasibu ni upumbavu ila na wewe ni mpumbavu kwa kushindwa hata kufanya hesabu ndogo.

1000×1000=1m na sio 100m
 
Hivi anaecheza mara Moja na kupata ni mchongo au bahati? Kama ni bahati ni mchezo mzuri ila utumie akili. Mf. Ukipata 100000, cheza nusu baki na nusu.
 
Japo hayo ma bahati nasibu ni upumbavu ila na wewe ni mpumbavu kwa kushindwa hata kufanya hesabu ndogo.

1000×1000=1m na sio 100m
Umquote vibaya ni watu 100k mzee na si watu 1000
 
Hata USA na EUROPE kuna jackpot na watu wanaliwa zaidi ya Tanzania.

Tunakushangaa sana unavyoita watu wapumbavu kisa jackpot.
 
Mwendo huo huo hadi ujinga uishe. Watu wawe wanaheshimu pesa yao wanayoitolea jasho. Huwezi kwenda taifa kama china au india ukute upuuzi wa hivyo.
 
Ajabu na kweli asee tz ni taifa la mazuzu na mabwege
Siku zote michezo ya bahati nasibu inatakiwa iendeshwe na sekta za umma, kama jiji, serikali kuu, halmashauri n.k. Hii ni kwa sababu fedha zinazobaki baada ya kulipa washindi zinaweza kutumika kufanya mambo ya umma. Kwa kutumia michezo ya kamari kuna nchi zinafanya mambo makubwa. Kwa mfano hapa kwetu tungeweza kujenga madarasa, kufidia gharama za masomo ziwe chini, kujenga wodi za hospital au kununulia dawa
 
Hata USA na EUROPE kuna jackpot na watu wanaliwa zaidi ya Tanzania.

Tunakushangaa sana unavyoita watu wapumbavu kisa jackpot.
Tofauti ni kuwa za majuu zinafanyika kwa uwazi na kihalali halafu ni sekta za umma zinafanya ili faida inayopitakana inakwenda kwenye shughuli za umma. Ni hatari sana kuachia watu binafsi kumiliki michezo ya kubahatisha kwa asilimia mia moja.
 
We kweli hesabu zime kupita kushoto.
Buku,buku kwa watu elfu moja ni sawa ma Milion 1 tu...!
Usije ma muhemko kwa hesabu za lasaba afu zimekushinda.

Alafu kucheza sio lazima na wala hulazimishwi kama wale Ma boya wa Kylinda
Kaandik 100k means watu laki moja
 
ukiwa kwenye kundi la wajinga, mazuzu mapumbavu alafu kama unahisi wewe ni timamu basi tumia utimamu kumnyonya huyo mjinga, zuzu na mpumbavu utoboe kwenye maisha ndo uje useme hivi... lah sivyo na wewe unakuwa zoba, au pimbi mmoja.
 
Hapana Tz inaongoza dunia nzima kwa kuwa na wanachi mazuzu, mabwege wajinga wajinga, wapumbavu na wasio jitambua dunia nzima Tz inaongoza
Sijafanya utafiti ila naamini, ukiongea jambo la msingi kwa wajinga watishia kutukana, kusengenya au kupuuza. Waambie kuhusu "connection, umbea, uchawa na ngono" hapo utawachukua wengi.
 
bandiko zuri sana nowdays radio hazina contents za maana zaidi makamari tu nachukia sana.
 
bandiko zuri sana nowdays radio hazina contents za maana zaidi makamari tu nachukia sana.
Yaani inashangaza kwa kweli mzee hiwezi amini kama hii nchi ina serikali na vyombo vyake vyote vya dola!! Kwa sasa apa tz kila mtu anatafuta njia ya kuwaibia wajinga
 
Back
Top Bottom