Huu sio mchezo (sport) bali ni sherehe za kidini (religious festival) katika kuadhimisha ushahidi (martyrdom) ya Mtakatifu (Saint) Fermin (San Fermin) ambaye alikatwa kichwa kule Amiens, Ufaransa ya Kaskazini. Huyu Saint Fermin anahesabiwa kwamba ni Mtakatifu na shahidi na Kanisa Katoliki (Catholic Church). Kwahiyo labda huu ni mchezo wa wakatoliki !!!
Kule Pamploma, Spain, ambako kunafanyika huu upunguani kila mwaka wanaamini kwamba Saint Fermin yalimfika mauiti/ushahidi yake/wake (martyrdom) kwa adhabu ya kuteswa na kukokotwa/kuburuzwa katika mitaa ya mji wao wa Pamploma na ngo'mbe (Bull). Hivyo wanasherehekea (commemorate) Saint Fermin martyrdom by putting themselves in this danger of being gored to death or seriously injured by the Bull, labda pengine anaekufa katika hili nae anakuwa martyr, labda wakatoliki wa kwetu wapate habari kutoka kwa ndugu zao wa Spain ili watuelimishe na sisi
What a belief !!! definitely not a sport