Michepuko sasa basi

Hapo bado sana itaendelea tuu michepuko. Ntaiacha office then naenda kushughulika narudi kuipick then naenda home. Waambieni hao matekenelogia wafikiri kwa kina zaidi.:israel:
 
Hapo bado sana itaendelea tuu michepuko. Ntaiacha office then naenda kushughulika narudi kuipick then naenda home. Waambieni hao matekenelogia wafikiri kwa kina zaidi.:israel:
wao wanawaza kidot.com sisi tunawaza kiuhalisia
 
Mshana sijakuelewa na picha hii ! I have to admit

Ina maana hiyo pete utakayovishwa na mwenzako itakuwa inasoma GPS so anaweza akajua upo maeneo gani. Ni kama wanavyo track stolen phones hivi.
 
Hapo bado sana itaendelea tuu michepuko. Ntaiacha office then naenda kushughulika narudi kuipick then naenda home. Waambieni hao matekenelogia wafikiri kwa kina zaidi.:israel:

...na kama utendaji kazi wake unategemea kugusana na mwili???
 
Hivi!!!kwani hio pete imegundishwa ama...hebu tupe matumizi yake then nikupe jibu sahihi!

Activater module yake inafanya Nazi kufuata mapigo ya damu, kwahiyo hata ukifa ghafla mtu wa kwanza kujua ni mwenza wako
 
nice toys to waste money on...
 
Kwa kweli km mmefikia hapo,ni bora kila mtu aende zake,cha kufa na pressure???,,,,its not worth it...hautakufa nayo hio...

Kama unajiamini shida iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…