Michepuko miwili imeweka status zinazofanana

huenda lao lilikuwa moja na walikuwa wanakuona boya tu, na huenda walikuchuna hela ya kutosha wameamua tu kukuonesha kuwa wanafahamiana na wanakuchora tu.

kuna kitu sijaelewa, picha za mke wako wamezipata wapi?

Na mimi nawaza hilo tu
 
Nani aliyewaambia kwamba wife wako ana birthday..???

Kama ni wewe ndiye uliyewaambia, kwanini unapenda kushare mambo ya mkeo na michepuko..??
 
huenda lao lilikuwa moja na walikuwa wanakuona boya tu, na huenda walikuchuna hela ya kutosha wameamua tu kukuonesha kuwa wanafahamiana na wanakuchora tu.

kuna kitu sijaelewa, picha za mke wako wamezipata wapi?
Swali la msingi sana hilo,atoe majibu ili tujue.
 
Back
Top Bottom