Michepuko matatizo kwa wanandoa

Michepuko matatizo kwa wanandoa

Siku hizi ndoa nyingi zimekua na matatizo lukuki mpaka hakuna heshima ya ndoa tena. Wanandoa wanachepuka kila siku mpaka mtu unajiuliza kwa nini watu wanaamua kuoana. Wanandoa wanaachana kila siku sababu zikiwa likuki ila nyingi michepuko ndo inasababisha. Na hao bao hawajaacha unakuta hakuna aman ndani ya nyumba wanaishi ilimradi siku ziende tu. Ukiangalia wanandoa wengi wanapatwa na magonjwa ya zinaa(Ukimwi,gono n.k). Mda mwingine ukitafakari unaona ni bora uishi kivyakovyako tu siku ukijisikia unatafuta mtu mnabanjuka maisha yanaenda. Wanandoa hembu tupeni sababu zinazosababisha hizo purukushani na mnadhani nini kifanyike kuepusha haya yote. Na ambao hamjaoa/Olewa mnawashauri kitu gani kabla kuingia chamani ili yasiwapate yanayawapata wanandoa walio wengi.
KWANI WW HIYO NDOA YAKO UMIACHIKAAA?!!!
 
Wewe umeoa/olewa? wanandoa wengi ni wanafki. ukiwaona njiani au ukienda kuwatembelea utawaona kama ni watu ambao wanafuraha na ndoa yao. lakini pindi wanapokuwa wawili ni vurugu tu. kila mmoja anajiuliza, "sijui kwa nini niliolewa/oa na huyu?"
ME NASHUKURU MUNGU SASA NAUTAFUTA WA 23 NA STEMEGEI KUMUACHA ASLAN
MKE MMOJA, WATOTO WATATU WAKO NJEMA KABISA,NYUMBA NZURI, USAFIRI WA,UHAKIKA, NA.. NA... NA.. MCHEPUKO....?????
 
Ukiona mtu anachepuka inamana hajaridhika na aliefunganae ndoa kwa maana ingine huyo aliemuoa sio wakenni wa mwingine.akipata wake sahihi hachepuki
 
Na kwa wale waliopendana mwanzoni na baadae mme/mke anachepuka inakuaje?? Au ndo kula wali kuku kila siku inachosha..
 
ME NASHUKURU MUNGU SASA NAUTAFUTA WA 23 NA STEMEGEI KUMUACHA ASLAN
MKE MMOJA, WATOTO WATATU WAKO NJEMA KABISA,NYUMBA NZURI, USAFIRI WA,UHAKIKA, NA.. NA... NA.. MCHEPUKO....?????
Hahaaaa!! Hovyooo
 
Unaweza tafuta mtu wa kubanjuana nae permanent ila kuoa huoi. Siku hizi wadada wengi ni movie type unaweza ukaingia ukajuta.
Mmmhhhmm.. I can see umeshakata tamaa... Common now not all men and women are the same.. I am sure there are still some out there who are innocent and husband / wife material.. Marriage is the best calling ever from God.. And every calling / Gifts/ Talents from God there is the cost on it ... We both have to denied ourselves if we want God's annointing , Blessings, Supernatural Power and Breakthroughs... Again in every callings from God there is the cost we must pay... It sad now these days no one wants to pay Cost, some most of us want easy Short cut ways , and to God there is no short cut ways, the road is straightforward tiny , either you go or not.. So just remember everything that God give to us is perfect thing , but people are not perfect and they are not ready to let them died ( their fleshy ) in order God to lead them... Trust me ukipata the right person you wouldn't regret or give up about marriage... Thanks... .
 
Tatizo what you do to others will be done also to you... ulipokuwa kijana umehadaa mabinti wa watu ukawatupa na kuwatesa sasa kwa nini mkeo asichepuke and vice versa.
 
Sababu zinazosababisha ndoa nyingi kuvunjia au wanandoa kuishi pamoja pasipokuwa na ushirika wa ndoa ni nyingi, ndoa nyingi zina mvurugano na michepuko ni mingi na wapo wengine wanaishi pamoja lakini hata hawasemeshani, hakuna upendo wala heshima ya ndoa.
Ndoa ni muunganiko wa mume na mke waliopendana na kuamua kuishi pamoja. Baadhi ya sababu zinazosababisha virugu hizi; kwanza ni namna gani mlivyokutana, ni mpango wa Mungu au yalikuwa matakwa yenu?
Wapo watu wanaoana huku tayari wameshachezeana vya kutosha, mbaya zaidi wengine hata kufanya kinyume halafu wanafunga ndoa! Ndoa kama hizi hapatakuwa na heshima ndani ya nyumba kitakachofuata ni kudharauliana na kutoaminiana, heshima na upendo usipokuwepo hata kama mnaridhishana bado shetani atakuwa anawakumbusha ya enzi zile na hivyo kuwafanya kuchepuka.
Wengine ni tabia au malezi aliyokulia, baada ya kuolewa/kuoa anajikuta hana uhuru au kuna matamanio hayapati kwa mwezie na hii inasababishwa na kutembea na wapenzi wengi kabla ya ndoa hivyo unapokuwa na huyo wako unakuwa unataka ladha ile.
Upendo unapopungua kwenye ndoa nalo ni tatizo, ubinafsi na kiburi huchangia sana tatizo hili. Unapokuta wanandoa kila mmoja anawaza kufanya jambo lake, kila mmoja na mipango yake, baba anajenga Mbeya mama anajenga Tanga, inafika sehemu kila mmoja anasahau kuwa wataishi pamoja bali wataachana muda wowote! Kwa hali hii lazima waangalie nje.
Pamoja na yote hayo, waliomshirikisha Mungu tangu mwanzo na baada ya ndoa, maisha yao ni ya mfano, hakuna kuchepuka na upendo wao hudumu mpaka watawaona wana wa wana wao!
 
Kabla ya Kuoa/Kuolewa aga makoloni yako. si baada ya kuoa "pepo kumbushia" linakuandama!
 
Mkuu umesema vyema..Kula like yangu
 
Wewe umeoa/olewa? wanandoa wengi ni wanafki. ukiwaona njiani au ukienda kuwatembelea utawaona kama ni watu ambao wanafuraha na ndoa yao. lakini pindi wanapokuwa wawili ni vurugu tu. kila mmoja anajiuliza, "sijui kwa nini niliolewa/oa na huyu?"
Very true...
 
Back
Top Bottom