Michepuko kweli nomaa!

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,506
Reaction score
7,445
MICHEPUKO NOMA! Hadi leo jamaa mmoja huko Malaysia anawaza arudi vipi kwa mkewe.
Alimuaga anaenda China kwa ndege ya
Malaysia no. MH 370 iliyopotea. Alisindikizwa hadi Airport. Kumbe aligeuza na alizama mtaa wa tatu kwa
nyumba ndogo. Sasa ndege imepotea na
abiria wote,kila kukicha mkewe na watoto wote wanalia.anajiuliza akirudi kwake, Atajieleza vipi!.
 
hamna ukweli...kama wewe wa Tz umejua ..unafikiri how hard is it kwa mkewe aliye a distance away same continent asijue
 
Hapo hamna ujanja ni kurudi tu nyumbani na vyeti vya admission hospital..(off course vya kufoji)..story ni kwamba ulipokuwa unapanda tu kwenye ndege ulipata kizunguzungu ukazimia, wakakupeleka hospital hujitambui vipimo vikaonyesha filigisi imevimba. Hivi sasa ndio umeruhusiwa kurudi nyumbani na safari itakuwa next month
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…