ANataka tumhakikishie kwamba ataathirika very soonunataka nini hapa Jf mkuu?
ANataka tumhakikishie kwamba ataathirika very soonunataka nini hapa Jf mkuu?
punguza povu unatukanana na keyboard ukute story yenyewe ni chai jamaa katunga kufuraisha genge tuMalaya mkubwa,utakufa kwa ngoma shenzi.
Bado hajaoa mkuu wamezalishana tuAcha uzinzi baki na mkeo
Sifa ya mwanamme sio kurudiwa na michepuko.
Sifa ya mwanamme ni kuwa na familia anayoitunza kwa kila kitu na kuwa na miradi ya kumuingizia hela itakayokimu familia hata akiondoka duniani hawatahangaika kutafuta mahitaji yao.
Sasa bila matusi naomba uji rank mwenyewe kama upo miongoni mwa wanamme. Kuoa hujaoa una baby mama tu ambae ana wenzie 2. SMH.
Inaonekana huyu jamaa hana uwezo kuwaridhisha wanawake kiunyumba ila ni mtoaji/mhongaji wa vihela vidogo vidogo ndio maana wanaenda na kurudi wakiwa na shidaHongera kwa kutumika kama spare tyre