Nataka novida bwanaa...na hii hali ya hewaa...
katika kitu kinachompa mwanaume uchungu japo hajifungui ni kujua na yeye anafanyiwa ha ha ha inaumaa inaumaa mno!!!bad enough imekua kama ni haki yao kabisa kucheat
kweli inabidi waanze kujifunza kuvumilia kufanyiwa sasa....
Kafanye nje mie ntajikanda maji ya moto.
novida si unajua mchumba yupo mbali au utavumilia zile side effects zake...lol
ha ha ha na iwe wazi sio kisasi ila kutafuta furaha....leoooooo!!!!hahaaaaa kabisa ifike mahali
if u do mii
i do yuuu
baaaas
Eti wanasema maji ya moto yanalegeza K...
Ila bora apewe jirani kuliko kioze...