Ngomo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 200
- 97
Inasemekana kwa wanandoa kama kuna mmoja anatoka nje basi hiyo tabia inaambukizwa kwa mwenza wake hata kama alikuwa ni mtulivu kabisa. Unapofanya mapenzi nje ya ndoa kuna roho inahamia kwa mwenza wako hatimaye kila mtu anaanza kucheat. Hivyo ukira mwa mwenzako na wewe vyako huliwa.