🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Me najua giza likishaingia au akitoka job si muda wangu tena ...unless yeye mwenyewe a nitafute...
Halafu wachepukaji waliofuzu huwa hawaruhusu mke au mume aguse simu... never. Yake ni yake na ya mume ni ya mume. Yani ugomvi wao wa kulazimisha kushika cm unaweza kuvunja hadi ndoa