Unakuta na mkeo pia anamchepuko wake unaompa amani, so mkeo akisoma huu uzi anakuunga mkono kwa asilimia mia ",michepuko na iheshimiwe" kwa kua hajui kama MIXOLOGIST ndio mumewe
I mean it bro....mi alikuja na mahari alitoa nikagundua anamke na watoto ....nilirudisha mahari mkuu.Nami ndo msimamo wangu....kufa bila ndoa si shida ila kujibanza Kwa mtu kwangu ni shida