Nakubaliana na Wewe.ni tabia tu,, mimi ndoa yangu bado changa ila najicommit tu na naheshimu ndoa.
Hilo la kuzaa ndio balaa zaidi.Sijui hata nifanyeje maaana nimezaa na mchepuko watoto wengi kuliko mke wa ndoa! Japo mke wangu hafahamu lolote!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Na huna mpango wa kuacha,Sijui hata nifanyeje maaana nimezaa na mchepuko watoto wengi kuliko mke wa ndoa! Japo mke wangu hafahamu lolote!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji23][emoji23] Bwashee Niko hapa kuchangamsha genge[emoji23][emoji23]Anapaswa kubadili approach yake ya kuchepuka.
Huyu atakuwa anaoa kabisa [emoji23][emoji23]...
Si mchezoni tabia tu,, mimi ndoa yangu bado changa ila najicommit tu na naheshimu ndoa.
Aisee[emoji3][emoji23][emoji23] Bwashee Niko hapa kuchangamsha genge[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23] Bwashee Niko hapa kuchangamsha genge[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kuna Wadada WATATU mpaka muda huu na weka hewani hili bandiko ni Mimi tu kutoa location wapo king ila nawazaga sana BETRAYAL na CONSEQUENCES zakeBy the way, kati ya Wanaume 100 tulioko kwenye ndoa 99 tumechepuka.
Ni hivi hali ya kuchepuka inategemeana sana na Mazingira, Ofisini, field n.k
Kwa sasa na amini hii ni nguvu ya asili!
Hali ya kuwa na matamanio na hitaji hilo muhimu.
Hebu Wanaume tuelezane experience zetu za kwanza kwenye kuchepuka.
Mimi nilianza few days tu baada yakuingia ndoani miaka kadhaa iliyopita, na nilichepuka na my best friend. Kumbe alikuwa ananipenda sana ila ndiyo ile hakutaka kabisa kunionyesha.
Tulifanya tu mara moja!
once for All, and distance keeps us apart..
Huyo ndio mchepuko wangu wa kwanza.
Vipi wewe ulianzaje?
Michepuko ni hatari.
Tuchepuke kwa Tahadhari.
Baada tu ya kuoa nilijiwekea nia kuwa sitaisaliti ndoa yangu. 5yrs later dah! Huwa na muda tu aiseeni tabia tu,, mimi ndoa yangu bado changa ila najicommit tu na naheshimu ndoa.
Kama mke hakupi kero na ni mfariji mkuu....Baada tu ya kuoa nilijiwekea nia kuwa sitaisaliti ndoa yangu. 5yrs later dah! Huwa na muda tu aisee
Sasa mwanaume huna mke wa pili huna mchepuko afu unajisufu una NGUVU ZA KIUME?Baada tu ya kuoa nilijiwekea nia kuwa sitaisaliti ndoa yangu. 5yrs later dah! Huwa na muda tu aisee
Balaa, endelea kujipa muda mwambaKuna Wadada WATATU mpaka muda huu na weka hewani hili bandiko ni Mimi tu kutoa location wapo king ila nawazaga sana BETRAYAL na CONSEQUENCES zake
mm kama kijana nashikilia rekodi mwaka wa Saba now sijawai saliti ndoa (chepuka)
Huwa naingia tamaa sometimes maana Kuna pisi kali nyingi tu zinazaliwa kama binadamu ila siku zote LOGIC Hunikumbusha the consequences za CHEATING naishia kuzuga na kupotezaa....
Safi.Kama mke hakupi kero na ni mfariji mkuu....
Mimi na tatizo Moja Sijawai kumsamehe msaliti wa mapenzi hata kama tukiendelea nakua mnafiki nilimwambia wife WANGU siku aki ni Cheat nikajua siwezi kumsamehe na ndio itakua kinyongo na upendo wangu kwake uta FADE
So mm mwaka wa Saba sijawai saliti ndoa
Ni mara nyingi nimeingia majaribuni ila Huwa naifikiria familia yangu na hairisha na siku nikisaliti ntajisikia vibaya sana otherwise mpk wife aje nifanyia vituko tunaishi vizuri japo kukwaruzana kupo...Balaa, endelea kujipa muda mwamba