Mkuu nimefuatilia posts zake zote kwenye ile thread sidhani kama alitumia hasira kuliko hoja. Tena alikuwa na hoja yenye uzito ila kuna baadhi ya wachangiaji hawakukubaliana naye. Posts zake hizi hapa, angalia kama kuna yoyote inayochafua hali ya hewa. She was just trying to be critical aganist Chadema.
Sasa kama haya ndio yaliyomfanya apate ban, then there is a lot of question to be asked. Labda awe ameomba ban mwenyewe. Hata kama ameomba ban, then meaning of ban becomes meaningless.
Kuna mahali alimuambia mtu kwa maneno mawili tu, "ass clown", mimi si mtaalam sana wa hiyo lugha ila nahisi hilo ni tusi na nadhani ndilo lililom-cost
jaman kunani michell kafanya nini mpaka wamembarn? Tususe au tugome ili wamrudishe haraka? Binafsi nam miss
Jamani mimi mgeni nilikuwa najipitia njia lakini kwenye hii thread nimejifunza. Nilipokuwa nafuatilia huu mjadala ni kama majaji wakekaa ku review kesi. Ningekuwa mimi ndiye natoa hukumu sioni kama huyo dada alikosa kustahili adhabu hiyo. nimefuatilia hizo post zake, labda kama kuna ambazo zilifutwa.
Hata hivyo naona alikuwa mkali kweli kweli
Welcome back darling....babu missed you vibaya sana:clap2::clap2::clap2:
Na huo ndo ukweli,when you are critical of them unachafua hali ya hewa! mimi najua BAN kwa asilimia 80 inatokana na hilo la kuwa critical,10% ni kumuita mtu aliyeniita LUNATIC, kumuita ASS CLOWN.....mwenye kujua slang ataelewa kuwa it simply means someone behaving foolishly,kwa kuwa sikuwa nimemtukana mtu tangu mwanzo na watu walikuwa wanatoa hoja tunaelezeana,sasa sijui kubwa ni lipi kati ya Lunatic na Assclown manake yeye hakupewa BAN,asilimia 10% labda kuna shida kwenye uelewa wa neno assclown na mengineyo!!
Pole kwa BAN mamii....Welcome back........Bala
Welcome back my Dear Student...karibu sana
Babu,i missed you too!mjukuu huyu utakuwa unam- miss mara kwa mara,manake huo ndo mwanzo tu,wakati mwingine wowote naweza pokea nyingine!:laugh::laugh:
Siku nyingine usitukane tena Michelle wangu....haupendezi kutoa maneno makali.
Ukijibizana na chizi, we ndo unaonekana chizi zaidi.
Dawa ya chizi ni kumpotezea.
Ushauri toka kwa babu, ni amri............ sawa eh mama.
Haya karibu nyumbani tuendeleze upendo wetu.:clap2::clap2:
Bora umejifunza,mi uzuri wangu sitafutagi haki manake hakuna haki,labda kwa Mungu tu!Asante Muhosni!
Kwasababu ya kutofautiana siku moja ndo ukaona lile jukwaa siliwezi,siku nyingine napochangia na kuungwa mkono mbona husemagi,you are simply an plda fool and coward!huna la kuniambia....
Mi si mchungaji,na huwa natumia Biblia mara nyingi tu,kutokana na upofu wa macho unaokuanza au usahaulifu hukumbuki.....binadamu lazima uwe na misimamo,siwezi kupelekwa pelekwa tu kifikra na kimtazamo....
Thank you my dearest teacher!miss you lots jamani! vipi ile ishu,umetulia sasa?:coffee:
Sawa babu,kutukana si jadi yangu wajua,nitawapotezea tu hao machizi,watu wana njaa,na chuki zao hawawezi fikiri tofauti,kumbe unajua babu!
Kweli kabisa , I'm also missing Michelle's constructive ideas.Jaman kunani michell kafanya nini mpaka wamembarn? tususe au tugome ili wamrudishe haraka? binafsi nam miss
Asante Bala, am strong as always and i keep going! hope you are good!
Please darling.... babu hapendi kukumisi.
Hebu ukuje huku nikufunde uwe mjukuu mtiifu kama wengine. Usijetukanana na mtu usiyemjua, jitu linakutusi kwenye screen, hujawahi kuliona na wala hulijui kwanini uhangaike nalo. Unalipotezea, maisha yanasonga mbele....Hizi keyboards hazina mamlaka ya kutupa mastress makubwa namna hii mpaka tunatukanana. Akikutukana, potezea huko, rudi kwa bbu mkate kucha zake na kumpa ugoro wake. Utabarikiwa na utakuwa na raha tele.
Yeah...am god my dia...nasikilizia game letu na Wolves
Siku hiyo ulikuwa umeshalala Babu,we wajua wazi ningekuja tu kukata hizo kucha na kukupa ugoro,kukosa kazi ya kufanya nikajikuta nimeenda tukanana na watu wenye kufikiri kwa hisia! nimekusoma Babu,mjukuu nimekuelewa kabisa!na nitajitahidi kuwa mtiifu!