Nimeamini kweli hakuna urafiki ama uadui wa kudumu,kinachomatter ni maslahi tu,kutokana na skendo ndani ya FIFA, hatimae MICHEL PLATIN anamuunga mkono Prince Alli kesho kwenye uchaguzi wa Raisi wa FIFA,Ila pamoja na hayo bado Sepp Blatter ana nchi nyingi zinazomuunga Mkono,Tusubiri kesho