uduzungwa
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 552
- 544
Mwenye kujua wapi miche ya mitiki inapatikana.
Nahitaji kwaajili ya kwenda kupanda kwenye shamba langu lililopo Mwanza.
Na wale wataalamu wa hichi kilimo cha mitiki kinaweza kukubali katika ardhi ya Mwanza?
Na mwenye utaalamu zaidi na ushauri pia naomba.