NJOMBE KING
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 197
- 22
Kuna miche mizuri ya matunda mbali mbali kama parachichi na epo nk inapatikana kwa wingi hapa njombe. Pia miche ya miti ya mbao inapatikana kwa bei nafuu.fika mtaa wa maheve njombe ujipatie kwa bei rahisi.