Miche ya Apple inauzwa

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
377
Wakuu nina kitalu nimesheheni miche ya miAple, nitakuuzia na kukupa somo namna ya kuipanda bei 10,000/- kila mche.
Baada ya miezi 8-10 utaanza kufurahia matunda yake
0754459572
Unaruhusiwa kuja kutembelea kitalu hata kutazama tu, na ukipenda nitakupeleka shambani vigwaza uone miti tenye miezi 8 ilivyotoa maua
Napatikana tegeta kibaoni ukifika hapo gonga namba hizo hapo juu utapokelewa.
 
Weka picha za shambani kwako, au bahadhi ya miche ili tufanye biashara
 
Back
Top Bottom