Miaka ya 80 Halmashauri ya Arusha mjini ilipiga marufuku Wamasai kuingia mjini na Rubega bila kuvaa chupi ndani. Mmasai mmoja akaja mjini, baada ya kumaliza shughuli zake giza limeingia akashikwa na haja kubwa akawa anaingia uchochoro mmoja akakutana na chalii mmoja, akamwambia "Rafiki huko unaingia uwe makini kuna vibaka" Mmasai akapuuza, akaingia akachuchumaa akanyanyua rubega na kujisaidia, baada ya kumaliza akasimama akawasha Tochi akaangalia kinyesi ili afukie na udongo hakukiona akahamaki "Kweli fibaka wapo mtaa huu hata mafi wanaiba"