donald james
Member
- Jan 6, 2014
- 43
- 7
Sista du akiwa hotelini akaagiza; naomba chips kaki na mchi kavu,niletee na panta fassion.
Ongeza na wa kwako tupate mchapio namba 1 kwa ukali
Ongeza na wa kwako tupate mchapio namba 1 kwa ukali
Ile Nafika Jasho Gheto hilo Linaanza Ntoka!
(Ile nafika gheto jasho ilo linaanza Ntoka!)
hiyo ni kali zaidi
Utani haufafanuliwi. Umeharibu!Naomba mtake wa boflo mmoja.
(Mkate)
Utani haufafanuliwi. Umeharibu!Ile Nafika Jasho Gheto hilo Linaanza Ntoka!
(Ile nafika gheto jasho ilo linaanza Ntoka!)
Utani haufafanuliwi. Umeharibu!