...umelala na demu wako usiku ananiita miimi,
usimwache madem wote wananiita honey,
I'm a gentleman nisiigopa majukuum,
we ni brother man unaeshinda maskani kula nduum,
.........
.kama mwanangu ROMA simwoni amepoteaa,
hivi kalajeremia DEAR GOD aliotee?
wala siamini wanangu mmepoteaa,
kweli game ngumu you better take care.......
MR. NAY
mimi ndo mwana wa mama alienifunza/
kwamba hakuna maisha bora kwa kijana asiyejitunza/
hakuna maisha bora kwa kijana asiyejifunza/
kujitunza hakuna maana kwa kijana usiyejifunza/
MOKO WA MIUJIZA
soga za mzawa
Hivi vitu viko wazi,kama vazi la kahaba.
nasambaza maradhi,alafu nakupa saba.
machozi ni haba,uokozi ni njozi baba.
ulimwengu wa saba,jehanamu ya aina yake,
kipe kitu kikupe,kikutupe kupe kwake.
kikunyonye damu kwa hamu,
kama hujafaham,dogo mwanaharam,
kalamu inamwaga dam.
nakuacha mweupe ka'mkologo,
chata ka' wagogo.
wabongo acheni nyodo,wote mnakula hongo,
hivi hii ni serikali,au sera kali kwa mbali,au
sera za mali.......
lyrics by hashim dogo in the "shadow of a dark destiny".