Michano/Hiphop/Freestyle

Michano/Hiphop/Freestyle

Mifano ni kama hii...

ukiwa na nyundo mkononi, ni rahisi kupigilia msumari
Fid Q

Mi ni jua la utosini sizuiliki Kwa miwani
Stamina

Siui mende Kwa nyundo maana nitaumia Mimi
Professor Jay

Kwenye mtihani wa Maisha uwe na max za kuvutia
One

Bora kurogwa kuliko kukosa Uhuru
Langa ( huu mstari niliuelewa nilipolala sentro)

Nimeapishwa Kwa damu iliyomwagika Soweto, ndo maana unaponisikia nanukia harufu ya ghetto
Nikki wa pili
Nimekupata mkuu. Yani ni verse nzito zilizobeba tafakuri kubwa kuliko zingine. Si ndiyo?
 
Mifano ni kama hii...

ukiwa na nyundo mkononi, ni rahisi kupigilia msumari
Fid Q

Mi ni jua la utosini sizuiliki Kwa miwani
Stamina

Siui mende Kwa nyundo maana nitaumia Mimi
Professor Jay

Kwenye mtihani wa Maisha uwe na max za kuvutia
One

Bora kurogwa kuliko kukosa Uhuru
Langa ( huu mstari niliuelewa nilipolala sentro)

Nimeapishwa Kwa damu iliyomwagika Soweto, ndo maana unaponisikia nanukia harufu ya ghetto
Nikki wa pili
Yes ni zile witty lines zenye ile "woow effect"
 
You think a you’re a soldier of the game and you think you got a name/

But when I start talking fame all I hear about you is lame/

They say you look like a lion but you’re really tame/

I can look around your crew and label them the same/

I wouldn’t pet you though, I’m not trying to stroke your head or your mane/

Just in case you thought you’re ahead, I’ll keep checking your lane/

What’s that? You’d eat me alive? How would you catch me? Should I count to five?/

Then start running around so I don’t leave you behind? Do you think I’m mean? Should I be kind?/

But I am kind, a four of a kind. You’re just a pair waiting for the turn of the river after the flop./

It’s like waiting for water to dry after you mop./

You’re better off doing something else like browsing the shop/

You’re rapping skills are so lousy I can’t even tell you to stop/

I’m getting drowsy every second listening to you try to rhyme lollie and pop/

Keep your candy ass lines in the wrapper because a rapper you’re not/

Sometimes fresh God anabless/

Ubaya ubwela jombaa huna sera/

Bro punguza sifa utapasuka busha/
 
Mvumbo niliivua nira, ili niweze saka Dollar/

Sasa nairudia hadhira, maana madogo wote hola/

Haina ushabiki wa mpira, wala mikwara ya Coca cola/

Mvumbo nina hasira, zaidi ya Khemenei Ayatollah/

Mistari inasukwa, zaidi ya nywele za Asnat/

Haina Aki na Ukwa, Mvumbo ndio tamati/

Ma snitch wana rukwa, kwenye hizi harakati/

Maana nimechafukwa, kama Mashariki ya kati/
 
2024
 
Mvumbo,

Utani ukipitiliza dharau huibuka, Mvumbo kaza acha kubabaika/

Nafurahi kuona hip hop inatangazwa jf, taarabu na bana pua ni zaidi ya kichefuchefu/
We Mzee wa manchesta, mbona umetukimbia/
Asenali tunatamba, kombe tumeshikilia/
UEFA kuibeba, ndo kitu tunafikiria/
timu yenu imedoda, inazidi didimia/
wachezaji wamechoka, ama nyeto wanapigilia?/
zile assist za Bruno, ndo kitu mnatambia/
yaani bora uishabikie chelshit, ile ya Mbaga Jr/
au hata 'wapiga puli', wa Anfild nakuambia/.

Arsenal tunatamba 😎.
 
Haonekani kila mahali, nyumbani mpaka kwenye kazi/

Baba mama maswali, mpaka marafiki uswazi/

Rabda kapata ajali, au kauwawa na majambazi/

Kumbe anapakwa asali, na kupikiwa wali nazi/

View attachment 2836880
Huyu ☝️ aliye pichani, ni Dr. Mariposa /
Sijui huyu binti ananini, maana nilishamposa/
kumbe huku sirini, anavingi sana visa/
ninaumia moyoni, hadi natamani kususa/
ila kwa nini lakini, huyu binti ananitesa/
ananiona kama nyani, kisa Mimi Sina pesa/
Sasa ninyi mwambieni, vibao nitamnasa/
pia nitamwingizia ukuni, kwenye tundu lisonipasa/
asije akadhani, nitaenda kwa Mwamposa/
au kwenda mlimani, kuomba kama Musa/
kwanza wengi wananitamani, Seran na simphorosa/
hata Binti wa zamani, Mimi bado sijamtosa.

adriz ulikuwa mtu hapo zamani, sasa we ni mbusii ni kamba tu umekosa.
 
Nina demu mwenye sura mororo,
Ambaye hana kasoro,
Hapendi kula kiporo,
Wala kubugia ugoro,
Yeye anapenda kulamba yangu mboro,
Hasa nikimlaza kwa godoro,
Nacheza naye hadi tomorrow,
Halafu sasa anakaterero,
Ndo maana nikimgusa mtaro,
Analia kama koro.
 
Huyu ☝️ aliye pichani, ni Dr. Mariposa /
Sijui huyu binti ananini, maana nilishamposa/
kumbe huku sirini, anavingi sana visa/
ninaumia moyoni, hadi natamani kususa/
ila kwa nini lakini, huyu binti ananitesa/
ananiona kama nyani, kisa Mimi Sina pesa/
Sasa ninyi mwambieni, vibao nitamnasa/
pia nitamwingizia ukuni, kwenye tundu lisonipasa/
asije akadhani, nitaenda kwa Mwamposa/
au kwenda mlimani, kuomba kama Musa/
kwanza wengi wananitani, Seran na simphorosa/
hata Binti wa zamani, Mimi bado sijamtosa.

Adriz ulikuwa mtu hapo zamani, sasa we ni mbusii ni kamba tu umekosa.
Kama huyo aneyeogeshwa ni wewe, hata mi nakutaka😎
 
Nina demu mwenye sura mororo,
Ambaye hana kasoro,
Hapendi kula kiporo,
Wala kubugia ugoro,
Yeye anapenda kulamba yangu mboro,
Hasa nikimlaza kwa godoro,
Nacheza naye hadi tomorrow,
Halafu sasa anakaterero,
Ndo maana nikimgusa mtaro,
Analia kama koro.
Duhh mleta mada haamini!🫢
 
Huyu ☝️ aliye pichani, ni Dr. Mariposa /
Sijui huyu binti ananini, maana nilishamposa/
kumbe huku sirini, anavingi sana visa/
ninaumia moyoni, hadi natamani kususa/
ila kwa nini lakini, huyu binti ananitesa/
ananiona kama nyani, kisa Mimi Sina pesa/
Sasa ninyi mwambieni, vibao nitamnasa/
pia nitamwingizia ukuni, kwenye tundu lisonipasa/
asije akadhani, nitaenda kwa Mwamposa/
au kwenda mlimani, kuomba kama Musa/
kwanza wengi wananitani, Seran na simphorosa/
hata Binti wa zamani, Mimi bado sijamtosa.

Adriz ulikuwa mtu hapo zamani, sasa we ni mbusii ni kamba tu umekosa.
sisters toni GIF by Braxton Family Values .gif

Nishakutosa muuuupenzi wa zamani,
Umebaki umedorora hauna ramani,
Ona sasa unafukuzia simphorosa na Serani
Ila nao wanakukataa maana si mahayawani,
Huna mpya umeshashuka thamani,
Kitulize kikojoleo, hovyo hovyo usitamani 😂 .

hip hop television GIF by WE tv.gif
 
View attachment 3593520

Nishakutosa muuuupenzi wa zamani,
Umebaki umedorora hauna ramani,
Ona sasa unafukuzia simphorosa na Serani
Ila nao wanakukataa maana si mahayawani,
Huna mpya umeshashuka thamani,
Kitulize kikojoleo, hovyo hovyo usitamani 😂 .

View attachment 3593518
Babi naomba turudiane,
njoo please tudinyane,
ikibidi tuoane,
kibo tufikishane,
Nimelimisi kebo nene,
Umbo lako namba nane,
hata kama Sina money,
Kikubwa tukojozane.
 
Back
Top Bottom