lnspector CP
Member
- Apr 28, 2016
- 76
- 30
habari,
Ndugu zangu leo kwenye jamii ninayoishi kulitokea uvumi kwamba utaratibu wa kuchukua PPF au NSSF umebadilika yaani huchukui hadi ufike umri wa miaka 55 hata kama upo sekta binafsi,na hilo lishapitishwa na raisi,swali kwa wanajukwaa hili swala ni kweli au ni uzushi tuu?