Kausha tuu sio Dhambi,kuoa sio lazima sherehe ni kwenda Msikitini au kanisani,kwisha kazi!Hii misherehe ni uzushi tuu!Wakuu hivi ni namna gani unaweza kuepuka kuchangia harusi hasa hawa wanoomba michango randomly kisa tu ulisoma naye unaamka unajikuta kwenye group na wengine wako na audacity unakuta hadi amount ya mchango ameshakujazia. Imenilazima kuweka private setting za WhatsApp nisiaddiwe kwenye magroup hovyo lakini bado haitoshi.
Kazini nako unakuta sawa ni staff mwenzio lakini huna personal relationship naye ya aina yoyote na pengine yupo branch ya sehemu tofauti na ulipo na hata hamfahamiani lakini mkeka unawekwa kwenye official group la ofisi ili tu wasiochangia waonekane watu wa hovyo.
Mtu aoe Yeye tumpe mchango sisi, wengine tulitoa kwa mkuu wa wilaya, sio Dhambi,Adamu na Eva aliwafungisha ndoa Mungu mwenyewe na hakukuwa na michango!Nikuweka ukauzu harusi usikubali kuchangia
Msiba na ugonjwa pekee ndo vitu vyakuchangia kwakuwa vinakuja bila kupanga kwa gafla
Kama una hela changa,kama huna kaa kimyaWakuu hivi ni namna gani unaweza kuepuka kuchangia harusi hasa hawa wanoomba michango randomly kisa tu ulisoma naye unaamka unajikuta kwenye group na wengine wako na audacity unakuta hadi amount ya mchango ameshakujazia.
Imenilazima kuweka private setting za WhatsApp nisiaddiwe kwenye magroup hovyo lakini bado haitoshi.
Kazini nako unakuta sawa ni staff mwenzio lakini huna personal relationship naye ya aina yoyote na pengine yupo branch ya sehemu tofauti na ulipo na hata hamfahamiani lakini mkeka unawekwa kwenye official group la ofisi ili tu wasiochangia waonekane watu wa ovyo.
Shida sio michango bali ni michango isiyo rafikiWakuu hivi ni namna gani unaweza kuepuka kuchangia harusi hasa hawa wanoomba michango randomly kisa tu ulisoma naye unaamka unajikuta kwenye group na wengine wako na audacity unakuta hadi amount ya mchango ameshakujazia.