Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,579
Upimbi ukizidi sana unakua Nguchiro mfukua Mihogo kwenye mashamba ya watuMama Samia tawala milele hawa viumbe
Upimbi ukizidi sana unakua Nguchiro mfukua Mihogo kwenye mashamba ya watuMama Samia tawala milele hawa viumbe
Kaomba mchango wa harusi?
Nabii feki? Mboni ameshindwa kufufua marehemu? Nilipita pale kwa mwamposa nikakuta masikini wamejilaza nikajiuza huyu nabii inamaana hawaoni hawa masikini waliojilaza hapa mlangoni kwake?Nabii huko huku,,,,? Mbona huu mkeka hausomi jamani?
Pale watu wanasikitisha? Hivi serikali haioni jamani.halafu wanatoka mkoaniNabii feki? Mboni ameshindwa kufufua marehemu? Nilipita pale kwa mwamposa nikakuta masikini wamejilaza nikajiuza huyu nabii inamaana hawaoni hawa masikini waliojilaza hapa mlangoni kwake?
Wamelala pale masikini wale wanatia huruma na nabii yupo bize kupiga makelele kule kusikilizisha watu ushuhuda wa uongo, na wewe ungempelekea ushuhuda wa uongo kwenye yale maombi yako 12 ya mchongo ukaweka na la kupata mdume ukupunguzie nyege sasa mdume umekua mgudumePale watu wanasikitisha? Hivi serikali haioni jamani.halafu wanatoka mkoani