Michango ya Changia Lowassa iliishiwa wapi?

CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
1,158
416
Amani iwe nanyi!

Wapendwa Watanzania wenzangu naimani sote tunakumbuka kuwa Mh. Waziri Mkuu Mstaafu, Edward lowassa, aligombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananch (UKAWA).

Katika jitihada za kuongeza nguvu kifedha ili Mh. Lowassa ashinde Uchaguzi, Watanzania wote tuliokuwa tayari kumuunga mkono Mgombea, tuliombwa kumchangia Mh. kwa kutuma pesa kupitia mitandao ya simu mfano TIGEO. Mimi nilikuwa ni mmoja kati ya watu tuliotoa huo mchango japo hatukufanikiwa mgombea wetu kushinda.

Baada ya Uchaguzi, nilitarajia kupata ufafanuzi wa mapato na matumizi ya pesa hizo za mchango lakini cha ajabu hakuna ufafanuzi wowote uliotolewa na CHADEMA au Lowassa mwenyewe ikiwa ni sehemu ya kuwajulisha na kuwashukuru wote waliotoa mchago huo.

Nauliza kwa nia njema, ivi hiyo michango ilienda wapi? Kama ilitumika katika Uchaguzi, iliobaki ipo wapi?
 
Na mhurumia ed sijui kama akina FRED NA PAMELA WANAMSHAURI KWELI WATU WAMEJENGA NA KUNUNUA MAHEKALU Kwa PNDI HIKI CHAKE KWA HELA ZA BWERERE
 
Mkuu mbona baadhi ya taarifa huwa wanatoa kupia vyombo vya Habari? Sio lazima mikutano.
 
ULISHIA BADA YA UCHAGUZI MBONA SWALI LEPESI HATE MTOTO WA CHEKECHEA ANALIJUA HILO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…