Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 556
Hili nalo nenoAnzisheni makanisa yenu makao makuu yawe Africa...michango yenu ibaki Africa na mjenge himaya zenu Africa... vinginevyo michango yenu inajenga empire za watu.... makanisa yatendelea kumilikiwa na wenyewe...
Daah hatari sana aiseeUtakufa watakuja kukuombea usamehewe dhambi zako na uende peponi, Mwanao atarithi hiyo dini naye ataenda kanisani atatoa sadaka mwishoni naye atakufa lakini wamiliki wa Kanisa wapo Ulaya na documets zote za makanisa... Na viongozi huko ni Wazungu...
Unaonaje ikiwa hivi: Toa ndugu toa ndugu, ulichonacho wewe, Bwana anakuona mpaka mfukoni mwako.Toa ndugu toa ndugu ukichonacho wewe bwana anakuona mpaka moyoni mwako.
Usiku mwema mkuu.
Umeongea ukweli mtupu..tunatengeneza empire za wazungu..bora tuanzishe makanisa ya hapahapa afrika..tutajirishane sisi kwa sisi.Utakufa watakuja kukuombea usamehewe dhambi zako na uende peponi, Mwanao atarithi hiyo dini naye ataenda kanisani atatoa sadaka mwishoni naye atakufa lakini wamiliki wa Kanisa wapo Ulaya na documets zote za makanisa... Na viongozi huko ni Wazungu...
Nabii tito alianzisha mkam snitchUmeongea ukweli mtupu..tunatengeneza empire za wazungu..bora tuanzishe makanisa ya hapahapa afrika..tutajirishane sisi kwa sisi.
#MaendeleoHayanaChama
Hahaaa Tito yule ni mgojwa wa akili..ingawa hua anaongea ukweli.Nabii tito alianzisha mkam snitch
Kwani na haya makanisa ya uzinifu ya kinabii hakuna sadaka?Utakufa watakuja kukuombea usamehewe dhambi zako na uende peponi, Mwanao atarithi hiyo dini naye ataenda kanisani atatoa sadaka mwishoni naye atakufa lakini wamiliki wa Kanisa wapo Ulaya na documets zote za makanisa... Na viongozi huko ni Wazungu...
Unasubir nin na akati tayari Mwamposa, Mwingira, Lusekelo, Gwajima, Kakobe, Masanja na baadae Joti yoote haya ni makanisa ya kibantu wy dont u join?Umeongea ukweli mtupu..tunatengeneza empire za wazungu..bora tuanzishe makanisa ya hapahapa afrika..tutajirishane sisi kwa sisi.
#MaendeleoHayanaChama