Unawekwa tu alafu zinafuatiwa na memory konki kisha kifuatacho ..Kuna ulazima kwani kuwepo kwenye hayo magroup?
Mjumbe umewahi kuwa admin wa haya makundi?.Fanya uachokiona ni Sahihi.
Sina muda.
Siku hizi wameweka.Watsap waweke approval button ya anaekuwa added kwenye group kuamua kupokea request ya kujiunga au kupiga chini ombi la kujiunga na Watsap
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Jana nimeunda kigroup Cha kazi flan sikuonaSiku hizi wameweka.
Ila mtu akikuadd wewe lazima uaccept ili uwemo kwenye group.Kama haujaaccept huwezi kuwa member wa group.
WordMimi huu upuuzi ndo siutaki. Kwanza huwa najiambia bila whatsapp kila mtu angekuwa kivyake. Hii WhatsApp group ni kutiana umasikini tu. Watu tuliosoma wote primary group la nini. Inshort sina group la msingi mpaka chuo. Hata la kazini simo. Nilishawahi kuadiwa kipindi kile unaadiwa tu bila idhini yako. Nili left. Mara mtu niliemaliza nae form six eti kazaa mchango. Kwanza sitaki kudweli kwenye past. I prefer physical contacts. Mtu hatujaonana miaka 10 eti kajifungua umchangie. Binafsi nikijifungua wala sifikirii mtu tuliesoma wote chuo yupo Katavi huko eti anichangie.
Watsap waweke approval button ya anaekuwa added kwenye group kuamua kupokea request ya kujiunga au kupiga chini ombi la kujiunga na Watsap
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kupepesa macho, wewe ni antisocialMimi huu upuuzi ndo siutaki. Kwanza huwa najiambia bila whatsapp kila mtu angekuwa kivyake. Hii WhatsApp group ni kutiana umasikini tu. Watu tuliosoma wote primary group la nini. Inshort sina group la msingi mpaka chuo. Hata la kazini simo. Nilishawahi kuadiwa kipindi kile unaadiwa tu bila idhini yako. Nili left. Mara mtu niliemaliza nae form six eti kazaa mchango. Kwanza sitaki kudweli kwenye past. I prefer physical contacts. Mtu hatujaonana miaka 10 eti kajifungua umchangie. Binafsi nikijifungua wala sifikirii mtu tuliesoma wote chuo yupo Katavi huko eti anichangie.