Michango imezidi RC

Michango imezidi RC

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,375
Ukiamka mara sijui tengeneza nini, ukihema mara sijui bima ya kina nani, ukikohoa mara zaka yani ni shida, imefikia kipindi watu tunapangiana kwamba kila familia ni LAZIMA ITOE LAKI KADHAA Bila kujali kipato chache.. Huu ni utumwa na unyonyaji wa mchana kweupe.Nachokiona watakatifu (mapadre na viongozi wadini) wanataka kuishi kitakatifu zaidi na kwa anasa huku kwa kutumia jasho la waumini.shida sana itabd watu waanzishe dini za familia.
 
Kooote utavumilia ila pagumu hapo kwenye kupangiana michango.

Mtu anakupangia mpaka zaka uto sh. ngapi? Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiamka mara sijui tengeneza nini, ukihema mara sijui bima ya kina nani, ukikohoa mara zaka yani ni shida, imefikia kipindi watu tunapangiana kwamba kila familia ni LAZIMA ITOE LAKI KADHAA.. Nachokiona watakatifu (mapadre na viongozi wadini) wanataka kuishi kitakatifu zaidi huku wakiwaminya waumini...shida sana itabd watu waanzishe dini za familia.
Kwa muda mrefu Catholic Churches nchini zilikuwa zinafadhiliwa na mashirika mengi tajiri ya Kikatoliki.

Sasa misaada hiyo imekoma maana makanisa ni mengi.

Kwa makanisa ya KKKT hali hii wamesha zoea, kuikubali, na kuendelea na michango mikubwa na mingi inayolijenga kanisa.

Mkristo jiulize hao wamissionari wslifikaje huku kwetu?
Ni kwa kutumia pesa za sadaka za wengine huko walikotoka.

Ni ukweli usiopingika kuwa sasa wamechoka, msimamo wao makanisa duniani wajitegemee, hii ni pamoja na vijana wengi Europe, Marekani na wafadhili wengine, kuiasi dini.
Hivyo hata huko makanisa yana sinyaa.
Huko Marekani na Uingereza Makanisa yanageuzwa ofisi, bar na studios au hata night clubs.

Kijana endelea kujitolea kadri uwezavyo ili Neno la Mungu liendelee kuhubiriwa duniani kote.
 
Acha kusali tu brooo
lakini usije laumu mengine ya mbeleni.

kumbuka, kutoa ni moyo na si utajiri
Sasa kama kutoa ni moyo s utajiri kwanini wafosi hadi wakuambie familia ya mzee fulan mtatoa laki, mara bima ya mapadre, mara mchango kwa ajili ya nini na wakati huo huo wanapga biashara, maana wana bank, wana redio, wana tv, wanahospitali wana shule na huko kote hupati huduma kama huna hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiamka mara sijui tengeneza nini, ukihema mara sijui bima ya kina nani, ukikohoa mara zaka yani ni shida, imefikia kipindi watu tunapangiana kwamba kila familia ni LAZIMA ITOE LAKI KADHAA Bila kujali kipato chache.. Huu ni utumwa na unyonyaji wa mchana kweupe.Nachokiona watakatifu (mapadre na viongozi wadini) wanataka kuishi kitakatifu zaidi na kwa anasa huku kwa kutumia jasho la waumini.shida sana itabd watu waanzishe dini za familia.

Kwani hiyo ' Michango ' ya RC huwa unalazimishwa Kuitoa?
 
Ukiamka mara sijui tengeneza nini, ukihema mara sijui bima ya kina nani, ukikohoa mara zaka yani ni shida, imefikia kipindi watu tunapangiana kwamba kila familia ni LAZIMA ITOE LAKI KADHAA Bila kujali kipato chache.. Huu ni utumwa na unyonyaji wa mchana kweupe.Nachokiona watakatifu (mapadre na viongozi wadini) wanataka kuishi kitakatifu zaidi na kwa anasa huku kwa kutumia jasho la waumini.shida sana itabd watu waanzishe dini za familia.

Umeongea ukweli mtupu alafu unashangaa mapadri wanaishi kitajiri sana majumba yao ni mazuri wanaendesha magari makali wanavaa vizuri kula vizuri kutibiwa hospitali kali nk wakati asilimia 80 ya hao waumini wafia dini ni masikini wa kutupwa mtu wewe kama wewe hujui hata familia yako kama wana bima ila ndo wa kwanza kimberembere kuchangisha bima ya mapadri zako. Unaambiwa akili za kuambiwa changanya na zako

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa muda mrefu Catholic Churches nchini zilikuwa zinafadhiliwa na mashirika mengi tajiri ya Kikatoliki.

Sasa misaada hiyo imekoma maana makanisa ni mengi.

Kwa makanisa ya KKKT hali hii wamesha zoea, kuikubali, na kuendelea na michango mikubwa na mingi inayolijenga kanisa.

Mkristo jiulize hao wamissionari wslifikaje huku kwetu?
Ni kwa kutumia pesa za sadaka za wengine huko walikotoka.

Ni ukweli usiopingika kuwa sasa wamechoka, msimamo wao makanisa duniani wajitegemee, hii ni pamoja na vijana wengi Europe, Marekani na wafadhili wengine, kuiasi dini.
Hivyo hata huko makanisa yana sinyaa.
Huko Marekani na Uingereza Makanisa yanageuzwa ofisi, bar na studios au hata night clubs.

Kijana endelea kujitolea kadri uwezavyo ili Neno la Mungu liendelee kuhubiriwa duniani kote.
Huko Marekani na Uingereza makanisa yanageuzwa miskiti. Simple and clear
 
pesa ina chapa ya Kaisar lkn kanisa wanaitaka apewe Mungu..!
 
Kikubwa wewe nenda muombe mungu wako then rudi nyumbani ..vigezo vya michango hivyo sio lazima ila unapokuwa unapata ziada katika kipato chako jaribu kujitolea kwa wasio na uwezo na wenye uitaji katika jamiii

..husitishike na mambo ya kutengwa sijui siku za msiba ndugu zako na marafiki wanatosha
 
Toa mchango wewe kwa maendeleo ya kazi ya Mungu.
 
Huko Marekani na Uingereza makanisa yanageuzwa miskiti. Simple and clear
Hatubishanii dini na lete ushahidi kama huu, makanisankugeuzwa ofisi.
th.jpeg.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom