Mzee wa fitna
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 341
- 189
Kakupenda vya bure hakika hadi wanaume mtaolewa wakati huu, umeenda kupata melezo ya hiyo michango huko shuleni kaeleweshwa?? Watanzania wengine wajinga sana , kujua kupost vitu mitandaoni sio tiketi ya kupost chochote hadi vya kijinga jinga ,Katika hali isiyo ya kawaida Shule ya Msingi Mchombe wilaya ya Kilombero imewataka wazazi kuchangia tsh2000 kila mwezi za kuajili walimu na tsh 1000 kila mwezi kwa ajili ya mitihani.
Tunamuomba waziri Simbachawene aingilie kati suala hili.
We nawe sijui unatokea vichochoro gani na ndio nyie mnao idanganya serikali na viakili vyenu kidogo hivyo shule ina wanafunzi 800 walimu 4 unataka wafanyaje?? Achen ujinga na ushabiki wa kipuuzi bila tafiti,HAKUNA SHULE YA MSINGI AMBAYO HAINA MWALIMU
Waambie wasimpe mwanao mtihani kama ni gharama sana.huku siomitihani tu michango ipo hivi-:
1.MCHANGO WA MLINZI 1000/-KILA MWEZ
2.MCHANGO WA MAJI 500/- "
3.CHANGO WA.UMEME 500/- "
4.MITIHANI KILA WIKI 1000/-
Zabando na starehe anapata ya elimu ya mwanae anaanza milio huku. Kama vipi amwamdalie jembe LA mkono na shamba robo heka maana heka hawezi kuwa nayo.Elfu 3 kwa mwezi ni kidogo sana, watoe ili watoto wapate elimu.
Kama ni kijembe sawa maananilishaanza kutoa povu dah.Hamjamuelewa mleta mada, hiki ni "kijembe"
Kuhonga tunaweza.Zabando na starehe anapata ya elimu ya mwanae anaanza milio huku. Kama vipi amwamdalie jembe LA mkono na shamba robo heka maana heka hawezi kuwa nayo.
Ndugu haya ndo mambo ya siasa, nadhani jamii iwe makini nayo na iongeze umakini ktk maneno yatolewayo na wanasiasa, yatawakosti.Umemwelewesha vizuri sana lakini na upande wa pili yaani serikali umeishauri kuacha kudanganya wananchi inatoa elimu bure kumbe ni usanii??
Kihonga no sahihi ila mtoto kusoma inakua anasa. Tunasafari ndefu kutoboa maisha mpaka inaogofya.Kuhonga tunaweza.
Haswa mkuuKihonga no sahihi ila mtoto kusoma inakua anasa. Tunasafari ndefu kutoboa maisha mpaka inaogofya.
Kama 20000 /=kwa mwaka, ilikuwa inaleta shida,. Hii itakuwaje?Tatizo si hiyo 1000!Shida kubwa ya watanzania ni roho mbaya kwani wanaona walimu watafaidika sana na hiyo!Hii imekuwa ni tabia ya wengi wetu na ndio maana huwa tunafurahi kuona watu wengine wakipata matatizo
Ukijua maana haya maneno utaelewaKatika hali isiyo ya kawaida Shule ya Msingi Mchombe wilaya ya Kilombero imewataka wazazi kuchangia tsh2000 kila mwezi za kuajili walimu na tsh 1000 kila mwezi kwa ajili ya mitihani.
Tunamuomba waziri Simbachawene aingilie kati suala hili.
SINA MWANANGU ANAESOMA KAYUMBA MKUUWaambie wasimpe mwanao mtihani kama ni gharama sana.
YAKO HAYO!We nawe sijui unatokea vichochoro gani na ndio nyie mnao idanganya serikali na viakili vyenu kidogo hivyo shule ina wanafunzi 800 walimu 4 unataka wafanyaje?? Achen ujinga na ushabiki wa kipuuzi bila tafiti,
HDTA HUKO ZINA UPUNGUFU TU, LAKINI SI HAKUNA KABISA MKUUNenda vijijini acha mambo ya town, nenda kaone