Michango imerudi tena mashuleni

SI UPUMBAVU KUNA WATU HATA MLO 1 WA SIKU NI SHIDA NA WALIPO SHAWISHIKA NA ELIMU BURE IKABIDI WAJILAZIMISHE KUWA PELEKA WATOTO WAO SHULE.BAADA YA HAPO UNAMWAMBIA MAMICHANGO YASIYO ELEWEKA UNATEGEMEA NINI KAMA SI KUJA KULALAMIKA HAPA AU KWA WAZIRI KABISA! KUNA WATU WANAKULA VIWAVI JESHI KWA SHIDA ZA MAISHA SI KAMA WANAPENDA MKUU
 
Katika haliisiyo ya kawaidi shuleya msingi mchombe wilaya yakilombero imewataka wazazi kuchangia tsh2000kilamwezi zakuajili walim natsh 1000kilamwezi kwaajili ya mitiani tunamuomba waziri simbachawene aingiliekatiswalahili
kwani si waliwaita wazazi wakakubaliana nao hilo limeruhusiwa kwa makubaliano kati ya pande hizo mbili au hukuwahi kumsikia waziri wa tamisemi kuwa hii ni elimu bila malipo lakini sio elimu bure
 
Wazazi kwa manufaa mapana ya watoto wao ruksa kuchangia lolote shuleni, na haya huwa hayapitishwi tu na walimu ama kamati za shule bali kikao cha wazazi, ongezeni na elfu 2 nyingine na debe la mpunga watoto wetu wanywe japo na uji wakiwa shuleni. Dharau elimu ya Mwanao, ukiiamini ya kisiasa na haitakula kwa mwingine bali wewe mwenyewe.
 
Tatizo si hiyo 1000!Shida kubwa ya watanzania ni roho mbaya kwani wanaona walimu watafaidika sana na hiyo!Hii imekuwa ni tabia ya wengi wetu na ndio maana huwa tunafurahi kuona watu wengine wakipata matatizo
Siku wakitembelewa na DC hapo hilo jambo lao la kwanza kulisema, na DC kutaka sifa kwa Mkuu hata hatofikiri zaidi. Tumuombe mleta mada, awasii wenzake hapo, wasiwabughudhi walimu, elimu ndio kurithi thabiti kwa mtoto, ukizaa jua ni jukumu la mzazi kwa maisha ya kesho ya Mwanao, jidanganyeni na kauli za wanasiasa uchwara, wao wanawapeleka watoto zao shule za kimataifa wakiwalipia makoloni halafu wewe wanakudanya usichangie elfu 5 tu, akili zetu tukitumie vyema kwa maslahi yetu wenyewe na wapendwa wetu, sio zitumike kuwa madaraja ya kuwaneemesha wengine kwa kivuli cha siasa.

Kama la michango ya kila mwezi ni shida, kaeni bunini miradi ya shule, shule ziwe na vipato vyake. Inaweza kuwa bustani wazazi wanunue mboga, ng'ombe wa maziwa, kuku nk. Mtachanga kwa muda then itajisimamia kupitia kiongozi yenu. Elimu, elimu, elimu, naongea kwa uchungu kwakuwa najua Morogoro ni mkoa usiojali elimu, mi ni wa huko, hili uwezi kusikia likilalamikiwa toka Kilimanjaro
 
Hiyo elfmbili nikila mwanafunzi yakuajili mwalimu wakujitolea na shilingi 1000 Nikilamwanafunzi yakuchapisha mitiani na huh ni mwanzotu kwani wazazi tunauzoefu nashule hii mwaka 2010 michango ilifika mbaka elfusabinikwakichwa
Kwa elimu ya mwanao wewe toa tu, tena uwe na mahusiano mazuri na walimu, uwe unawapelekea vizawadi kama kuku mpunga nk, wanamuangalia future ya mwanao hao. Mungu wanafiki walimu wangu wote msingi hadi chuo. Nipo hapa kupitia jitiada zao, wakati mwingine zao binafsi nje ya wajibu wao.
 
Huko kilombero ndipo watu wanakula viwavi jeshi ama...
nikuambie tu ukweli "HAKUNA CHA RAIS WA MASKINI MAANA RAIS NI WA WOTE NA HAYO MANENO YA KUWAFARIJI NI KWA KUWA WANAJUA MASKINI UKISHAMPA TUMAINI HUWA ANSAHAU SHIDA KWA GHAFLA NA WANAJUA FIKA KUWA WATANZANIA WANAITEGEMEA SANA SERIKALI NA HAWATAKI KUIONDOA HIYO MITAZAMO KWA KUWA NI MTAJI MKUBWA WA KISIASA"..

ndugu yangu nimesoma shule za serikali na nilipokuwa shule ya msingi tulikuwa tukifanya hiyo mitihani ya kila wiki kwa gharama za mzazi na shule yetu ilikuwa moja ya shule zilizokuwa zikiongoza mkoani dodoma...

Ondoa mtazamo wa kimaskini kwa kuwa hakuna kitu bora kisichokuwa na gharama kwa dunia ya leo..utafurahia kutokulipa michango ila mwisho wa siku mtoto atarudi na zero bila cheti na kwa mfumo.wa Tanzania inakuwa kama alipoteza miaka ya masomo bure..je,wewe kwa hilo unaliafiki???....

Mwisho wa siku usihadaike na huruma za wanasiasa.angalia future ya nchi yako.kwa sisi tuliosoma hizi shule tunajua fika kuwa elimu bure ni kiama unless warudishe michango lakini pesa ya kibajeti itumike kuyaboresha mazingira ya kujifunzia..
 
Katika haliisiyo ya kawaidi shuleya msingi mchombe wilaya yakilombero imewataka wazazi kuchangia tsh2000kilamwezi zakuajili walim natsh 1000kilamwezi kwaajili ya mitiani tunamuomba waziri simbachawene aingiliekatiswalahili
Kwakweli watanzania tunapenda sana kulalamika yaani.....[emoji34] [emoji34]
 
Usiwapotoshe wenzako ndugu, Tanzania tunavyohadithiwa sio yenye uhalisia wenyewe, labda kule ambako sijawahi kufika, ila Kilombero hakuna shida kama hizo labda ni familia ya wavivu kupindukia. Haya, hata kama ulidanganywa, unamsusia nani mwanao sasa?

Serikali inahudumia hadi njia za uzazi wa mpango, mzazi ni jukumu lako nambari moja kwa elimu ya kiumbe ulichokileta hapa duniani, usiwacheleweshe wenzako, wachaga hawakuisubiri serikali, walijijengea mashuleni na kuwasomesha watoto wao, leo wapo walipo... Tujifunze kwao.
 
Ache ujinga st marry nishule binafsi hiinishule serikari
Kwahiyo? Mbona huduma za afya tunachangia? Serikali ikishindwa mzazi atulie tu? Huu ndo utakuwa ujinga sasa, hadi wanaomba huo msaada wamezidiwa, ajira kwa walimu kwa mara ya mwisho ilikuwa lini? Wangapi wamekufa na kustafu? Hii ni hali halisi hakuna jinsi, wachange kwa manufaa ya watoto. Tena walimu ni wema hao, waliojizila hata huo upungufu msingeusikia, ni kufeli tu.
 
Wanasiasa hawa wanatuharibia nchi kabisa, ni kweli wanayahubiri haya, tunahangaika nao sana. Kuna mmoja alishawazuia wananchi wake wasichimbe vyoo ktk kampeni ya kila kata kuwa na choo. Wehu sana hawa.

Hivi ni nani aliyefuta EK mashuleni, leo watoto wanashindwa bila kula, shule hazina vipato, kwanini isirejeshwe mashuleni? Mtoa mada ilitakiwa kuhiji haya.
 
Katika haliisiyo ya kawaidi shuleya msingi mchombe wilaya yakilombero imewataka wazazi kuchangia tsh2000kilamwezi zakuajili walim natsh 1000kilamwezi kwaajili ya mitiani tunamuomba waziri simbachawene aingiliekatiswalahili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Awamu hii inamaana hamna kitu wanachokiweza

Maana kila kitu kimewashinda kuanzia mil 50 kila kijiji,kujenga viwanda,ajira,mikopo kwa wanafunzi,kulinda demokrasia nk
 
Acheni kujiendekeza,fanyeni kazi msomeshe watoto wenu otherwise kama elimu ni gharama jaribuni ujinga basi
 
Katika haliisiyo ya kawaidi shuleya msingi mchombe wilaya yakilombero imewataka wazazi kuchangia tsh2000kilamwezi zakuajili walim natsh 1000kilamwezi kwaajili ya mitiani tunamuomba waziri simbachawene aingiliekatiswalahili
Endeleeni kuamini kampeni ili watoto wenu wafeli. Yaani uliamini kuondoa ada 20,000 ndo elimu bure? Nyie lipeni watoto wenu wasome lakini ukiamini kuna elimu bure nchi hii unajidanganya.
 
Umemwelewesha vizuri sana lakini na upande wa pili yaani serikali umeishauri kuacha kudanganya wananchi inatoa elimu bure kumbe ni usanii??
 
hahaaaa hivi hamjiulizi kwanini licha ya elimu bure wengine bado wanasomesha watoto shule za ml 3 mtoa mada hebu fanya uondoe hoja ukiwa hivo nakuambia itafika mahali hata nauli ya mtoto kwenda shule utamdai simbachawene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…