rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,515
- 41,977
Aisee katika pita pita zangu naona watu wanajaribu kumfananisha Scofield na Professor sasa Najiuliza hawa wamevuta bhangi ya wapi??? Maana scofield kile kichwa Kingine yani series ya Prison break ilikuwa mwisho wa episode moja una maswali mia kidogoo.... zile akili za scofield mpaka anatoroka gerezani aisee acha kabisaa...