B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
Mageuzi ni muhimu sana lakini mageuzi hayo hayo yanaweza kuleta machungu kwa wananchi, Rais wa Zambia Michael Sata alikuwa mpinzani, alipambana sana na chama tawala ili kuweza kuingia Ikulu katika Uchaguzi mkuu, lakini ni majuzi tu hapa ndipo alishinda.
Sasa wananchi wake wameanza kulalamika, kwanza anaminya demokrasia, hataki vyama vya siasa vimkosoe kwa kumkumbusha kuhusu ahadi zake. Sasa wananchi wake hawana imani tena na Serikali yao.
Wakati mwingine mabadiliko ya Utawala katika Nchi ni hatari sana, unaweza kusema angalau chama kile kingekuwepo tu.
Source, BBC. LONDON.