Michael Jai White Ni moja ya actor konki sana

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
561
Huyu mwamba napenda namna ya uigizaji wake jamaa serious martial art kabisa in life hata MMA Wanamuelewa huyu mnig movie hazinaga romatinc huyu mwamba ni yeye na kipondo full action yaani

NI moja actor ambao ni serious action sisi wapiga ngumi tunasema insane wale mliocheza shadow fight 2 mnaelewa

Top eleven yang serious martial artist actor

Donnie yen
Max zhang
michael jai white

Steven seagal (Umri umeenda ila bado anakiwasha kwelikweli ikumbukwe ni master wa aikido scene anapigana na tyson kwenye china salesman)

scort adkins
Tony Jaa
Jean claude van damme

Mike tyson ( utampata kwenye china sales man,Ip man 3 na No surrender ya damme na dogo krut )

Jason stastam
Jack wu anakiwasha kwenye wolf wariors
Iko uwais ( Mkali wa silati ) moja ya filamu zake Head Shot & Night come for us ni kisanga kitupu )

moja ya movie zake alizocheza michael jait white

Never back down 2
Take back 2021
Falcon Rising
Skin Trade
Tripple threat
undisiputed 2
The hard way
Universal soldier

na nyingine nyingi

we unamkubali yupi zaidi
 
Falcon Rising ni fire.

Ila Donnie Yen hapana, Ana mateke na ngumi za speed kinyama.

Tafuta movie zake za akiwa bado yanki (young) uone mateke na ngumi zake.

Mfano

Tiger cage
On the line of duty
Shangai affars
The big boss
Kung fu master
 
Ulikuwa unataka tumfanyeje huyu Michael?
 
Falcon Rising ni fire.

Ila Donnie Yen hapana, Ana mateke na ngumi za speed kinyama.

Tafuta movie zake za akiwa bado yanki (young) uone mateke na ngumi zake.

Mfano

Tiger cage
On the line of duty
Shangai affars
The big boss
Kung fu master
namwelewa sana ila huyu mwamba anatuwakilisha vizuri watu weusi yeye na wesley sniper
 
MIchael Jai White. Mwamba sana huyu jamaa.
20211106_201612.jpg
 
Falcon Rising ni fire.

Ila Donnie Yen hapana, Ana mateke na ngumi za speed kinyama.

Tafuta movie zake za akiwa bado yanki (young) uone mateke na ngumi zake.

Mfano

Tiger cage
On the line of duty
Shangai affars
The big boss
Kung fu master
akikushika anahakikisha huinuki kabisa kabisa
 
Back
Top Bottom