Michael Jai White Ni moja ya actor konki sana

Michael Jai White Ni moja ya actor konki sana

Awais nakubali sana muvi zake.
Ni muvi za kikora kwelikweli.
Sio mchezo.
HEADSHOT
na ile iko part one na two.
Wanaingia kwenye lile jengo kuna nyamera hatari.
Huyu dogo muvi zake nazipa rate ya juu sana.
Akifuatia scott adkin na ile lafudhi yk y kirusi.mwanzo nilijua jamaa ni mrusi kipindi cha udisputed
 
huyu ni USA nazani ni chotara huyu mshikaji
 
Unaelezea movie zenye action ambazo nyingi ni edited, katika kutaja ubora wa mtu, sasa hapo waliyo bora zaidi ni hao wanaoziunda hizo action ambazo mwigizaji anakuja kuziigiza.
 
Awais nakubali sana muvi zake.
Ni muvi za kikora kwelikweli.
Sio mchezo.
HEADSHOT
na ile iko part one na two.
Wanaingia kwenye lile jengo kuna nyamera hatari.
Huyu dogo muvi zake nazipa rate ya juu sana.
Akifuatia scott adkin na ile lafudhi yk y kirusi.mwanzo nilijua jamaa ni mrusi kipindi cha udisputed
Adkins ni mwingereza

Anapenda kujifanya mrusi
 
Unaelezea movie zenye action ambazo nyingi ni edited, katika kutaja ubora wa mtu, sasa hapo waliyo bora zaidi ni hao wanaoziunda hizo action ambazo mwigizaji anakuja kuziigiza.
nyingi ni edited nani kakwambie atuongelee marvel na dc or SCI FI movie mjomba hao wajamaa hapo juu wanafanya real stunt
 
Huyu mwamba napenda namna ya uigizaji wake jamaa serious martial art kabisa in life hata MMA Wanamuelewa huyu mnig movie hazinaga romatinc huyu mwamba ni yeye na kipondo full action yaani

NI moja actor ambao ni serious action sisi wapiga ngumi tunasema insane wale mliocheza shadow fight 2 mnaelewa

Top eleven yang serious martial artist actor

Donnie yen
Max zhang
michael jai white

Steven seagal (Umri umeenda ila bado anakiwasha kwelikweli ikumbukwe ni master wa aikido scene anapigana na tyson kwenye china salesman)

scort adkins
Tony Jaa
Jean claude van damme

Mike tyson ( utampata kwenye china sales man,Ip man 3 na No surrender ya damme na dogo krut )

Jason stastam
Jack wu anakiwasha kwenye wolf wariors
Iko uwais ( Mkali wa silati ) moja ya filamu zake Head Shot & Night come for us ni kisanga kitupu )

moja ya movie zake alizocheza michael jait white

Never back down 2
Take back 2021
Falcon Rising
Skin Trade
Tripple threat
undisiputed 2
The hard way
Universal soldier

na nyingine nyingi

we unamkubali yupi zaidi
Mi wakali wangu ni Steven Seagal, Tony Ja na Michael Jay White...hawa Wana uwezo wa kiukweli. Yani unaona kabisa huyu jamaa anaweza
 
nyingi ni edited nani kakwambie atuongelee marvel na dc or SCI FI movie mjomba hao wajamaa hapo juu wanafanya real stunt
Kama umeshawahi kucheza mchezo wa ngumi utajua hilo na wale waigizaji hizo action huwa wanaelekezwa tu. Kuna watu wapo kwenye movie kazi zao ni hizo kuwaelekeza waigizaji wafanye nini. Kama credit ya action za Movie basi wakupewa sifa ni hao.

Mmojawapo ni Sammo Hung, huyu ndiyo mwenye action ngumu kuliko akiandaa action kwenye movie. Waigizaji wengi wa China wakisikia action kaandaa yeye wanaikimbia filamu, Donnie Yen pekee ndiyo anaigiza. Jackie Chan mwenyewe alikuwa akiumia kweli kwenye action za huyo jamaa.

Nachotaka kukwambia hizo action edited sehemu nyingi na waty hufanywa kwa maelekezo maalum. Na si uwezo binafsi, kama ni sifa kupigana basi wanaoziunda na kuwafundisha waigizaji wapambaen basi ndiyo wapewe hao
 
Back
Top Bottom