Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Daaa Michel Jackson mzee wa kudansi
Kumbukumbu murua! Michael Jackson alikuwa mzuri naturally kabla ya kuamua "kujiumba" yeye mwenyewe.Nilimchukia kwa kitendo kile japo kazi zake hakuna ubishi zilikua za viwango vya juu kabisa! Ali champion wa wakati wote! "Ali,boma yee boma yee"mashabiki wa ngumi Kinshasa Zaire(Kongo) walipokua wakimshangilia Ali akimwadhibu kwa makonde mazito Frezier(1974)? Pambano lilifanyika barani Afrika.
Lilikuwa pambano la ngumi la karne. Hakujatokea pambono lililokuwa na mvuto duniani kama lile. Hata Zaire(DRC) ilikuwa inaheshimika sana kabla Mobutu hajaanza kulewa madaraka na kufanya ya hovyo.
Sent from my iPad using JamiiForums
Jackson 5