Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 334
- 237
beki bora wa kulia kabisa hapa tanzania lakini apewi sifa na heshima anazo stahili anawazidi wengi wa timu kubwa tatizo anachezea jkt ruvu .
anajua kukaba kushambulia na anafunga na ni mtaalamu wa mipira iliyo kufa
anajua kukaba kushambulia na anafunga na ni mtaalamu wa mipira iliyo kufa