Miaka yangu 10 ndani ya JF

WE ndo yule vai mfupi
 
Ahsante kwa muongozo
 
[emoji16] bichwa lako

Hahah hadi sasa nishaona wataka tu dakitare akutie kitu hata kama u mzima...

Basi tufanye atakutia sindano isiyouma kuondoa muwasho wa allergy...
Bwanaaaa mi muoga wa sindano[emoji85]
 
Yesu Maria na Yoseph

Huu mtego wako siuingii hata kidogo [emoji12]

Tuachane na hii habari ya kutiana vidole machoni...

Halafu tajiri Valeee, nataka mashuka nakupataje? Halafu nitatest vipi kama ni mazuri ikiwa hutaki tuyatumie wakati wa kutiana vidole machoni kumtoa mdudu?😁
 
Tuachane na hii habari ya kutiana vidole machoni...

Halafu tajiri Valeee, nataka mashuka nakupataje? Halafu nitatest vipi kama ni mazuri ikiwa hutaki tuyatumie wakati wa kutiana vidole machoni kumtoa mdudu?[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeghairi siuzi mashuka[emoji1787]
 
Hongera sana kwa miaka 10
Umejifunza na kufanya mengi....!
Jitahidi uwape maarifa wanaojiunga...

Mimi mwezi wa tano nitakua nimetimiza 15...si haba...!

Long live JF...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…