Miaka ya neema, miaka ya uharibifu

[emoji120][emoji120][emoji109][emoji109][emoji109]songa mbele kwa kujiamini
.. Mungu hatakupa jaribu kukuzidi
Hili somo zuri sana mkuu limenitia nguvu ya kupambana.

[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Kweli yani sema nini mshana ungeazisha kanisa mi ningekua muumini wako
 
Mkuu hapo hata sielewi naona kitu kama mapumbu hapo naona na kama mwanamke kachanua
 
Kati ya hizo kuna ambazo zitakuwa mwanzo wa baraka na nyingine zitakuwa mwanzo mwingine wa safari ndefu iliyojaa mashaka kushindwa na majuto mengi.. Kumbuka zinakuja bila dalili
hata ktk 'ndoa za kisulisuli' mkuu Mshana
 
Kuna baadhi ya mada hufaa kufufuliwa baadhi ya nyakati ili kuweza kutufumbua macho yaliyofumbwa na upofu wa kutojua

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…