Miaka ya neema, miaka ya uharibifu

Asante sana hasa kwenye neno la tumani, ubarikiwe mno
 
Tiba ya chumvi,ni ipi hiyo,kama unayo makala ya chumvi nirushie Mshana
 
Tiba ya chumvi,ni ipi hiyo,kama unayo makala ya chumvi nirushie Mshana
 
Tiba ya chumvi,ni ipi hiyo,kama unayo makala ya chumvi nirushie Mshana
 

Nimekupata Mshana, siku moja nilikuwa nasikiliza mahubili ya Nabii Frank Kilawa,yeye anasema aliiombea chumvi iwe na nguvu za Mungu,lakini pale kanisani washirika wake wawili walikuwa wanagombania mipaka yao huko shambani kwani walikuwa wamepakana,hivyo yule mshirika mmoja akachukua chumvi ile iliyoombewa na Nabii Frank na kuiweka mpakani mwa lile shamba na kuiamuru kuwa yule mgomvi mwenzake akiivuka tu ile chumvi afe. Na ikatokea hivyo hivyo yule jamaa baada ya kuvuka tu mpaka wa chumvi akafa.Swali je Mungu anaweza kuua kwa namna hiyo au ule ulikuwa ni uchawi? Naomba uzoefu wako Mshana
 
Naomba msaada wa tag na mm. Nilisomaga nimepoteza.
 
Hili somo zuri sana mkuu limenitia nguvu ya kupambana.

πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…